Sipati picha Mr suruali fupi anaandaa mdudu, ha haMara nyingi nguruee huwa inatengenezwa kwa mtindo wa fry.no mchuzi.
Mkuu ajira ngumu na ujuzi unao,mi naona dhambi ni kuitumia tu.Sipati picha Mr suruali fupi anaandaa mdudu, ha ha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanachoweza ni comment ya i stand with........
rangi (rainbow) kuhusishwa na ushoga unazungumziaje?Mimi natetea haki za mashoga kufanya wanavyotaka lakini pia napinga mchezaji asiyependa kuvaa jezi zinazotetea ushoga kulazimishwa kuvaa jezi hizo.
Yani sitaki kuvunja haki za binadamu kuwanyanyapaa mashoga, na hapo hapo sitaki kuvunja haki za binadamu za mchezaji kumlazimisha apepee bendera la mashoga kama hapendi.
Rangi haina mwenyewe, hata wewe ukitaka kuihusisha na ukoo wako sawa tu.rangi (rainbow) kuhusishwa na ushoga unazungumziaje?
Kumbe timu nayo inamilikiwa sheikhe....??? msikiti umeuzwa!!! Sheikhe nae anapenda nyama ya mafutaView attachment 2234299
Katika hali kama hii ndipo unapoona wazi wazi bila kificho kwamba pesa zina elements kubwa sana za ushetani.
Mchezaji wa PSG (timu hii inamilikiwa na shehe tajiri) wiki iliyopita alikataa kuvaa jezi yenye rangi za kuunga mkono ushoga, usagaji na kubadili jinsia, sababu yake kuu ni kwamba ni kinyume na asili yake na pia dini yake hairuhusu.
Sasa ishu inapokuja ni kwamba mchezaji huyu analipwa milioni 200 kila wiki na watu wanaofanikisha hilo jambo wao wanapenda kuunga mkono ushoga, wamechukizwa na mchezaji huyu kutovaa jezi na kwa sasa imembidi mchezaji achague kimoja kati ya kitita cha milioni 200 ama kurudi Afrika.
Muafaka bado haujafikiwa hadi sasa japo kuna picha za uzushi kama niliyoambatanisha zinasambaa .
Je ni kipi atakichagua kati ya milioni 200 za kila wiki ama kurudi afrika.
wachezaji wengine wa kiislam wakiwemo Benzema, Kante, Pogba, n.k wao wanavaa kama kawaida.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23]Kupakuliwa wapakuliwe wengine eti mimi niache hela kisa kupinga wasipakuliwe!!! Acha wapigwe paipu hadi wapararalizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sasa wakisoma hapa wabongo, utaona mapovu yao juu yako.Huyu angepata ushauri wa JK: si kila kitu cha kukivalia njuga: vingine unaacha vipite tu. None of your business. Utakimbilia wapi dunia hii ya ultra-liberals? Ingekuwa yeye ndio anazimishwa kuwa shoga hilo neno. Rangi za rainbow tena bila maandishi haziwezi kutibua imani yako if you’re strong.
Hapa kwetu wapo waliopiga parapanda dhidi ya ushoga walipobanwa na mabeberu ilibidi Waziri wa Foreign atumwe haraka kukanusha na kuwahakikishia watalii mashoga kuwa wanakaribishwa sana Tanzania na kwamba hawatabugudhiwa! Janga zaidi.
na imani yake ndio hiyo hiyo ya tajiri wake mwenye timu aliyeleta jezi 😂Achague imani yake au pesa . Simple
Duh! Hawa jamaa kweli wamedhamiria kuishogesha dunia aisee! wazungu sana.
Mi wangekuta tu nimeshawaachia mshahara wao nipo zangu Africa. Utu wangu ni wa thamani kuliko fedha. Pesa ipo kwa ajili ya kunitumikia mimi na utu wangu na siyo kinyume chake. Halafu ningemsubiri wa kuleta fyoko fyoko. Angepata cha kusimulia vizazi vyake!View attachment 2234299
Katika hali kama hii ndipo unapoona wazi wazi bila kificho kwamba pesa zina elements kubwa sana za ushetani.
Mchezaji wa PSG (timu hii inamilikiwa na shehe tajiri) wiki iliyopita alikataa kuvaa jezi yenye rangi za kuunga mkono ushoga, usagaji na kubadili jinsia, sababu yake kuu ni kwamba ni kinyume na asili yake na pia dini yake hairuhusu.
Sasa ishu inapokuja ni kwamba mchezaji huyu analipwa milioni 200 kila wiki na watu wanaofanikisha hilo jambo wao wanapenda kuunga mkono ushoga, wamechukizwa na mchezaji huyu kutovaa jezi na kwa sasa imembidi mchezaji achague kimoja kati ya kitita cha milioni 200 ama kurudi Afrika.
Muafaka bado haujafikiwa hadi sasa japo kuna picha za uzushi kama niliyoambatanisha zinasambaa .
Je ni kipi atakichagua kati ya milioni 200 za kila wiki ama kurudi afrika.
wachezaji wengine wa kiislam wakiwemo Benzema, Kante, Pogba, n.k wao wanavaa kama kawaida.
UTU KWANZAHela kwanza, mbona ma chef kwenye mahotel wale suruali fupi mbona nguruwe wanaipika kama menu kawaida though wao hawaili.
Asimamie msimamo hadi mwishoMkuu hili suala litampoteza jamaa,atleast angekua mzungu ila muafrika na huo msimamo jamaa hatoboi
Ili zimpeleke kuzimu?Atazimiss hilo
Milioni 200 mbona
Kuunga mkono hadharani maana yake unaungana naoMimi navuta mshahara, wanaopigwa miti ni wao watajijua na tigo zao
Basi avunje tu mkataba, ailipe PSG hela zake za kuvunja mkataba, arudi Senegal akacheze Horoya ya Makambo au Teungueth ya SakhoHAPANA. Muhimu UTU
Alitupwa kuzimu sio duniani.MUNGU bora amchukue ibilisi akakae nae huko huko sijui kwanini alimtupia duniani kiumbe aliepigana na jeshi la malaika wa Mungu na aka wachallenge maana kwa vita hii hatumuwezi...