Pesa ni Shetani; Mchezaji aliyekataa kuvaa jezi ya kuunga ushoga alazimishwa kuchagua kati ya mshahara wa milioni 200 kila wiki ama kurudi Afrika

Pesa ni Shetani; Mchezaji aliyekataa kuvaa jezi ya kuunga ushoga alazimishwa kuchagua kati ya mshahara wa milioni 200 kila wiki ama kurudi Afrika

Mimi natetea haki za mashoga kufanya wanavyotaka lakini pia napinga mchezaji asiyependa kuvaa jezi zinazotetea ushoga kulazimishwa kuvaa jezi hizo.

Yani sitaki kuvunja haki za binadamu kuwanyanyapaa mashoga, na hapo hapo sitaki kuvunja haki za binadamu za mchezaji kumlazimisha apepee bendera la mashoga kama hapendi.
rangi (rainbow) kuhusishwa na ushoga unazungumziaje?
 
Kupakuliwa wapakuliwe wengine eti mimi niache hela kisa kupinga wasipakuliwe!!! Acha wapigwe paipu hadi wapararalizi
 
View attachment 2234299

Katika hali kama hii ndipo unapoona wazi wazi bila kificho kwamba pesa zina elements kubwa sana za ushetani.

Mchezaji wa PSG (timu hii inamilikiwa na shehe tajiri) wiki iliyopita alikataa kuvaa jezi yenye rangi za kuunga mkono ushoga, usagaji na kubadili jinsia, sababu yake kuu ni kwamba ni kinyume na asili yake na pia dini yake hairuhusu.

Sasa ishu inapokuja ni kwamba mchezaji huyu analipwa milioni 200 kila wiki na watu wanaofanikisha hilo jambo wao wanapenda kuunga mkono ushoga, wamechukizwa na mchezaji huyu kutovaa jezi na kwa sasa imembidi mchezaji achague kimoja kati ya kitita cha milioni 200 ama kurudi Afrika.

Muafaka bado haujafikiwa hadi sasa japo kuna picha za uzushi kama niliyoambatanisha zinasambaa .

Je ni kipi atakichagua kati ya milioni 200 za kila wiki ama kurudi afrika.

wachezaji wengine wa kiislam wakiwemo Benzema, Kante, Pogba, n.k wao wanavaa kama kawaida.
Kumbe timu nayo inamilikiwa sheikhe....??? msikiti umeuzwa!!! Sheikhe nae anapenda nyama ya mafuta
 
Huyu angepata ushauri wa JK: si kila kitu cha kukivalia njuga: vingine unaacha vipite tu. None of your business. Utakimbilia wapi dunia hii ya ultra-liberals? Ingekuwa yeye ndio analazimishwa kuwa shoga hilo neno. Rangi za rainbow tena bila maandishi haziwezi kutibua imani yako if you’re strong.

Hapa kwetu wapo waliopiga parapanda dhidi ya ushoga walipobanwa na mabeberu ilibidi Waziri wa Foreign atumwe haraka kukanusha na kuwahakikishia watalii mashoga kuwa wanakaribishwa sana Tanzania na kwamba hawatabugudhiwa! Janga zaidi.
 
Huyu angepata ushauri wa JK: si kila kitu cha kukivalia njuga: vingine unaacha vipite tu. None of your business. Utakimbilia wapi dunia hii ya ultra-liberals? Ingekuwa yeye ndio anazimishwa kuwa shoga hilo neno. Rangi za rainbow tena bila maandishi haziwezi kutibua imani yako if you’re strong.

Hapa kwetu wapo waliopiga parapanda dhidi ya ushoga walipobanwa na mabeberu ilibidi Waziri wa Foreign atumwe haraka kukanusha na kuwahakikishia watalii mashoga kuwa wanakaribishwa sana Tanzania na kwamba hawatabugudhiwa! Janga zaidi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sasa wakisoma hapa wabongo, utaona mapovu yao juu yako.
 
Duh! Hawa jamaa kweli wamedhamiria kuishogesha dunia aisee! wazungu sana.

Wazungu tena? Mbona mnawasingizia wazungu? Mwenye timu yake ni huyu hapa:

1653429645490.png
 
View attachment 2234299

Katika hali kama hii ndipo unapoona wazi wazi bila kificho kwamba pesa zina elements kubwa sana za ushetani.

Mchezaji wa PSG (timu hii inamilikiwa na shehe tajiri) wiki iliyopita alikataa kuvaa jezi yenye rangi za kuunga mkono ushoga, usagaji na kubadili jinsia, sababu yake kuu ni kwamba ni kinyume na asili yake na pia dini yake hairuhusu.

Sasa ishu inapokuja ni kwamba mchezaji huyu analipwa milioni 200 kila wiki na watu wanaofanikisha hilo jambo wao wanapenda kuunga mkono ushoga, wamechukizwa na mchezaji huyu kutovaa jezi na kwa sasa imembidi mchezaji achague kimoja kati ya kitita cha milioni 200 ama kurudi Afrika.

Muafaka bado haujafikiwa hadi sasa japo kuna picha za uzushi kama niliyoambatanisha zinasambaa .

Je ni kipi atakichagua kati ya milioni 200 za kila wiki ama kurudi afrika.

wachezaji wengine wa kiislam wakiwemo Benzema, Kante, Pogba, n.k wao wanavaa kama kawaida.
Mi wangekuta tu nimeshawaachia mshahara wao nipo zangu Africa. Utu wangu ni wa thamani kuliko fedha. Pesa ipo kwa ajili ya kunitumikia mimi na utu wangu na siyo kinyume chake. Halafu ningemsubiri wa kuleta fyoko fyoko. Angepata cha kusimulia vizazi vyake!

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom