Pesa ni shortcut ya kumpata mwanamke, lakini kuhonga ni kujaribu kuficha udhaifu

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Mnasemaga TAFUTA PESA, wengine WE MPE HELA, YAANI WE MPE HELA TU.

Mtu anayejiamini hawezi kutoa pesa yake hovyo hovyo, mtu anayejiamini anashawishi na kuheshimu pesa yake.

Ukiona unahonga sana ili upendwe jua wewe ni dhaifu, wajanja wanakula pesa zako

Povu ruksa
 
No money no love wahenga walisema.
 
Dem amekula sana pesa yangu ni ela ya boda ya kuja na kurudi kwake..
 
Dem amekula sana pesa yangu ni ela ya boda ya kuja na kurudi kwake..
 
Sisi tunawafaidi na hatuwapi pesa labd ya guest, pesa ninatafuta kwa ajil yngu
 
Unatakiwa kushukuru sana kama umebarikiwa kupata hiyo akili.

Wengi wanahangamia kwa kukosa hayo MAARIFA.
 
Mkuu Kama kwako ni rahisi kutoa buku bhasi kuna mtu kutoa milioni ndio buku yake. Tutafute Tu hela jamaa
Hao mnaowapa mamilion kuna watu wanawatia bila kuwapa hata hela ya vocha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…