DOKEZO Pesa nyingine ziko Seychelles 🇸🇨

DOKEZO Pesa nyingine ziko Seychelles 🇸🇨

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
ni vyema tukaanza kukusanya zote kuanzia awamu ya kwanza, ya pili, ya tatu, ya nne, ya tano na hii ya sita pia.

Watanzania tunapaswa kuungana kupigana hii vita na sio kuwa mashabiki wa wanasiasa wa Tanzania ambao wote awamu zoote tabia ni zilezile..
 
Katika vitu nachukia sana ni kuwa na Rais ambaye anasema anaipigania nchi kumbe ni mwizi au anashirikiana na wezi.

Ila haitoshi hata yule ambaye anaonyeshwa na vyombo vyake au raia wake kuwa yule na yule ni mwizi na fisadi na walichoiba kiko mahali fulani na hachukui hatua bali mipasho tuu au kupotezea.

Watu wa aina hiyo ni wa ovyo sana.
 
Maweeee kumbe ni jukwaa la siasa.....

Am sorry.....🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
ni vyema tukaanza kukusanya zote kuanzia awamu ya kwanza, ya pili, ya tatu, ya nne, ya tano na hii ya sita pia.

Watanzania tunapaswa kuungana kupigana hii vita na sio kuwa mashabiki wa wanasiasa wa Tanzania ambao wote awamu zoote tabia ni zilezile..
Rais wa awamu ya tano ndiyo kaiba. Wengine walikuwa wazlendo
 
Back
Top Bottom