DOKEZO Pesa nyingine ziko Seychelles 🇸🇨

DOKEZO Pesa nyingine ziko Seychelles 🇸🇨

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Account ya mke wangu sijui ina kiasi gani benki. britanicca anajua mpaka mafisadi wana trillion 3 tena Seychelles. Serikali tumpe ajira kachoro mbobezi huyu🤣🤣
Kuna watu huwa wakiamka wanawaza waje na ushuzi gani kumchafua JPM ukiwaambia haya lete fact unaishia kuoshwa matusi. Unabaki kushangaa tu. Habari ya Seychelles anaweza kuongelea ya yule mbunge wetu wa maparachichi wakati ule kapigwa pini mpaka contrubution zake za social security fund zikamwokoa. Na huko ilikuwa za wababe wasiogusika ndio alitumika ku transact kitu ambacho kwa pin ile hana hata sumni kule.
 
Sasa Serikali Isipate Kigugumizi Ichukue Hatua Irudishe Pesa Kuukwamua Uchumi Wa Tanzania Unajua Wanaotuangusha Ni Viongozi Wetu
Hili Nalo Linahitaji Mpaka Tupate Wajuzi Toka Nje
 
Nchi hii kwa mujibu wa katiba yetu mbovu rais ndiye mwamuzi wa chochote na lolote. Jiwe alikuwa mwizi. Period!!
Sasa kwani si alikuwa na Account na zinajulikana? Kama ni kweli kaiba nini kinakwamisha kusema Magufuli kaiba kiasi hiki na kipo kwenye account hizi na hizi na kuchukua hatua kali maana kama aliiba kuna aliyoiba nao na wako hai na wengine wako serikalini kuna shida gani kuchukua hatua? Hata zile wanazosema zimefichwa china hakuna aliyesema zimefichwa na nani zaidi ya kupoteza muda tuu!
 
ni vyema tukaanza kukusanya zote kuanzia awamu ya kwanza, ya pili, ya tatu, ya nne, ya tano na hii ya sita pia.

Watanzania tunapaswa kuungana kupigana hii vita na sio kuwa mashabiki wa wanasiasa wa Tanzania ambao wote awamu zoote tabia ni zilezile..
Awamu ya pili ilikuwa gombania goli,watu walikuwa wanajichotea
 
Kuna kakikundi kaliko aminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.

B
Hii nchi majizi ya fedha za imma ni mengi sana. Tunaumizwa kwenye tozo kumbe fedha zinaishia kwa mafisadi. Hizo fedha zingetosha kabisa kuagiza chakula nje ya nchi kupunguza makali ya njaa inayoinyemelea nchi.
 
Back
Top Bottom