Mwanga Mkali
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,302
- 2,473
Kuna watu huwa wakiamka wanawaza waje na ushuzi gani kumchafua JPM ukiwaambia haya lete fact unaishia kuoshwa matusi. Unabaki kushangaa tu. Habari ya Seychelles anaweza kuongelea ya yule mbunge wetu wa maparachichi wakati ule kapigwa pini mpaka contrubution zake za social security fund zikamwokoa. Na huko ilikuwa za wababe wasiogusika ndio alitumika ku transact kitu ambacho kwa pin ile hana hata sumni kule.Account ya mke wangu sijui ina kiasi gani benki. britanicca anajua mpaka mafisadi wana trillion 3 tena Seychelles. Serikali tumpe ajira kachoro mbobezi huyu🤣🤣