DOKEZO Pesa nyingine ziko Seychelles 🇸🇨

DOKEZO Pesa nyingine ziko Seychelles 🇸🇨

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kuna kakikundi kalikoaminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.

B
Lete ushahidi,vinginevyo huu ni udaku tu kamba mwingine.Why should we believe you.
 
Awamu ya tano iliiba hela kuliko awamu zote,kumbuka mpwa wa mwenye nchi aliwekwa kwenye kitengo cha pesa,ni awamu pekee ambayo ikulu ya nyumbani kwa Rais wa nchi ilitumika sana mpaka marais kutoka China,Uganda,Rwanda na Kenya kufanya ni sehemu ya mikataba ya kisirisiri,na hata chaguzi za 2019 na 2020 zilionyesha kuwa Tanzania kuna matatizo mahali maana wale wote waliogombea kwenye vyama vingine vya siasa hawakujua kusoma na kuandika isipokuwa wagombea wa ccm.Watu hawapambani moja kwa moja na marehemu bali wanapambana na maozo ya marehemu ambayo yanagharimu usalama wa nchi.
Mbona mnaongea mambo bila ushahidi wowote?Please please,huu ni uzushi and typical of the Devil.Ukileta tuhuma kama hizi,it is only sensible that you also bring evidence.Lete ushahidi mkuu wa tuhuma zako,otherwise stop it.

Tabia hii ovu inaonyesha wazi kwamba kuna chuki binafsi au huna uhakika na ulichoandika.

Unajua, ninyi watu mna shida kubwa.Mtindo huu wa kuendelea kumshambulia Magufuli wakati ameshakufa, na hayupo unatuhakikishia jambo moja,you are afraid of his legacy on Tanzanians,and so you want to erase it.Lakini niwaambie hivii,hamtaweza.Magufulis' legacy will leave on in the minds of Tanzanians for a very long time to come.He was the only President who told Tanzanians the truth and who did what Tanzanians wanted.The rest ni magumashi tu.
 
Ushahidi wa kwanza ni Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020,ushahidi wa pili ni ujenzi wa Ikulu Chato Wilayani badala ya makao Makuu ya mkoa Geita na ujenzi wa Uwanja wa Kimataifa Chato,sema mengine tukupe.
 
He was a liar and a terrorist man.
 
Ushahidi wa kwanza ni Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020,ushahidi wa pili ni ujenzi wa Ikulu Chato Wilayani badala ya makao Makuu ya mkoa Geita na ujenzi wa Uwanja wa Kimataifa Chato,sema mengine tukupe.
Ujenji? Kumbe alijenga vitu vinaonekana,tenakwa faida ya Watanzania.Nilidhani utasema alifanya vitu kwa faida ya familia yake,kumbe ni kwa faida ya Watanzania,this is rubbish.
 
Faida gani kila siku mnamlilia Samiah kuwa maisha yamekuwa magumu kumbe ni wizi wa ule mzee aliofanya mpaka akaacha hazina empty kabisa.
 
Akili yako wewe imejaa makamasi,nimesema lete ushahidi,or else shut up.
 
Sasa si ukazichukue
Ni kweli kama zipo wakazichukue maana sheria inasema mwenye kuiba na mwenye kuhifadhi vitu vya wizi na yule atakayeficha taarifa za huyo mwizi naye atakuwa ameshiriki kwenye huo uhalifu !! Kama zipo mahali popote zifuatwe vinginevyo ni uzushi tu !
 
Kuna kakikundi kalikoaminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.

B
Kuna Clip ilitembea sana humu ikidai JK kaficha mapesa kibao kile Malaysia,hii imekaaje!
 
Na ukapimwa hiyo akili yako ili kinyesi kipungue kichwani mwako.
Mimi tena, wewe unayeleta vitu bila evidence JF,si ndiye ukapimwe!? Vituko hivi,hata AI inakuzidi in logic mara million I moja(1,000,000)!
 
Siwezi pimwa na wapumbavu wanaoamini katika uchawi na kujifukiza,wanaoamini katika chuki na dharau.Wanaoamini katika ukabila na ukanda,wanaoamini maendeleo ni kujenga kwao,wanaoamini katika nafsi badala ya mfumo.
 
ni vyema tukaanza kukusanya zote kuanzia awamu ya kwanza, ya pili, ya tatu, ya nne, ya tano na hii ya sita pia

Watanzania tunapaswa kuungana kupigana hii vita na sio kuwa mashabiki wa wanasiasa wa Tanzania ambao wote awamu zoote tabia ni zilezile..
Watanzania hawa hawa au!!!
 
Back
Top Bottom