mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Hatari I !!Zinahama kulingana na mahitaji ya mtoa post
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari I !!Zinahama kulingana na mahitaji ya mtoa post
Duh...!. I just don't believe this!.Kuna kakikundi kalikoaminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.
B
Even IDD AMIN still lives in the hearts of some people in UgandaMbona mnaongea mambo bila ushahidi wowote?Please please,huu ni uzushi and typical of the Devil.Ukileta tuhuma kama hizi,it is only sensible that you also bring evidence.Lete ushahidi mkuu wa tuhuma zako,otherwise stop it.
Tabia hii ovu inaonyesha wazi kwamba kuna chuki binafsi au huna uhakika na ulichoandika.
Unajua, ninyi watu mna shida kubwa.Mtindo huu wa kuendelea kumshambulia Magufuli wakati ameshakufa, na hayupo unatuhakikishia jambo moja,you are afraid of his legacy on Tanzanians,and so you want to erase it.Lakini niwaambie hivii,hamtaweza.Magufulis' legacy will leave on in the minds of Tanzanians for a very long time to come.He was the only President who told Tanzanians the truth and who did what Tanzanians wanted.The rest ni magumashi tu.
Nchi hii kwa mujibu wa katiba yetu mbovu rais ndiye mwamuzi wa chochote na lolote. Jiwe alikuwa mwizi. Period!!
SureMpwa aliwekwa kwenye kitengo cha pesa kusaidia haya .
I'm not suprised.
MmmAwamu ya pili mpaka hii ya 6 yote ni mijizi.
Nina evidence nta share na wewe Huyo KATTO ALIKIWA HATARIDuh...!. I just don't believe this!.
Usimchafue bure home boy wako Katto!.
P
Tukizifuatilia za Ushelisheli,tunaenda Malaysia maana napo kuna Rais Mstaafu kipenzi cha wapiga dili kaficha huko mabilioni ya dola.Kuna kakikundi kalikoaminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.
B
Bila shaka hawa watakuwa SUKUMA GANG chini ya usimamizi wa fisadi Chenge, mzee wa vijisenti.Kuna kakikundi kalikoaminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.
B
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.Kuna kakikundi kalikoaminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.
B
Haisee jamaa alikuwa hatari sana, zirejeshwe Zije kusaidia katika ujenzi wa SGR.Kuna kakikundi kalikoaminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.
B
Hizo zote ni fedha za umma zirejeshwe serekalini zitupunguzie mzigo!Huko mbali sana,pesa ziko kwenye akaunti ya Nyanza Construction na Mayanga Construction zaidi ya trilioni 2
Lakini huyu katia fora aisee ni mwendo wa Trilions tu, hakuna billions.ni vyema tukaanza kukusanya zote kuanzia awamu ya kwanza, ya pili, ya tatu, ya nne, ya tano na hii ya sita pia.
Watanzania tunapaswa kuungana kupigana hii vita na sio kuwa mashabiki wa wanasiasa wa Tanzania ambao wote awamu zoote tabia ni zilezile..
Dhalim alituharibia sana nchi yetuKuna kakikundi kalikoaminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.
B
bila ushahidi huu ni uongoKuna kakikundi kalikoaminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.
B
Andika kiswahili! Kiingereza chako hakijasimama!Wewe umeenda shule lakin umeandika kingereza kwa mfumo wa kiswahiliIf you are Opportunist person it does not mean that every person is opportunist like you.You know illegal people discusses on the matter of events and not a matter of reality according to law(THE CONSTITUTION OF THE COUNTRY) of how it operates .That is why, because of ignorance, we think that to live in a certain country, it is the gift of National Political Leaders more especially Ruling Parties.Naturally,Politics is not the will of Political leader but it is a daily Gift man given by God(CREATURE OF ALL) in order to solve some problems facing in his/her environment economically,socially,educationally and transitionally.
We waste time to Insult each other because of Selfish Ideas and Views.We want to force the Society to believe in Political Leaders rather than our daily struggles and real life.What is wrong?The answer is short,SELFISHNESS BEHAVIOURS ,to think that we are right in all things.We have to be Systematic,Critical and coherent in order to make things in Status quo.A
Zaidi ya zile alizosema Mh Rais Dr Samia za china kuna zingine tena??Kuna kakikundi kalikoaminisha Umma kwamba ni kasafi Kumbe kameoza sana
Pesa zaidi ya Trilion 3 ziko hapo visiwa jirani.
B