Pesa si kila kitu mwanaume mashine jamani

MWANAUME MASHINE MSAGA SUMU UMENIKOSHA SANA
 
hahaaaaaa nyinyi wanawake ni viumbe ninao wapenda sana coz hamjielewi hasa ni nini mnapenda, mara pesa, mara mashine n.k. na tutaendelea kuwatafuna na kuwatema km bigijii mpaka siku mtapokua na fikra pevu.
 
Usifananishe pesa na vitu vya kijinga,watu waligawana hadi za rambirambi shennzzz!!
 
Wee Maserati umekesha ama?? [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji15] [emoji15]
 
We inaonekana unapenda mkuno wa pesa na mkuno wa mwanaume..jiangalie..[emoji3][emoji3]
 
Sikubaliani na wewe 100%, google Mavuso or blesser in youtube you can learn something new.
 

Mashine gani sasa ya kusaga au kukoboa
 
Basi olewa na omba omba nae si anajua kukuna alafu uje kutupa mrejesho hapa
 
Wewe unaongea kiuno? Pumbavu kabisa. Unawaza ngono ule mawe? Mwanamke mpenda ngono amtafute mwanaume mpenda ngono. Wenye akili zao wanawekeza ktk assets, wewe unajaza maji kwenye tenga! Amka kijana. Amka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…