Pesa si kila kitu mwanaume mashine jamani

Pesa si kila kitu mwanaume mashine jamani

Haaa haaaaa.Ila Watu wanadhani wewe sio mtu wa kawaida.Robot..nihakikishie Na unawezaje kuwa 'be the first to reply. Kwa nyuzi nyingiiiiii?
Sio kila nyuzi, ni baadhi tu kadiri nipatapo alert
 
Katika mapenzi na hata kuwa katika ndoa ni lazima mwanamke umridhishe kitandani na uhakikishe anapata mahitaji yake yote muhimu,
Kama kuna kimojawapo hukitimizi jua kuna mtu anakusaidia.
 
Cku hizi wanataka ule na tigo
24f615cdceb4099c5111952343886069.jpg
Okkay kumbe wanataka na kusuguliwa TiGO
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115]
Usicheke mkuu ndio wenzetu hao bhana wao wanajiona wanaakili zaidi ya muumbaji wao mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pesa ni chachandu tuu kwenye mapenzi ..ila uwe na pesa uwe mbovu kitandani na kibamia chako wallah utagongewa sana
Mungu wangu.... Kwahyo na sisi wenye vibamia tufanye nini[emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Kwa nini siku hizi wanaume wamechukulia pesa ndiyo kila kitu kwenye mahusiano? Kuna kitu wanaume wanasahau pesa siyo kila kitu hata uwe na pesa vipi ukashindwa kumkuna mpenzio hujafanya kitu na kwa hizo pesa zako mwanamke atatoka nje na kumhonga mwanaume mwenzio ili amridhishe kitandani amkune kisawasawa.. Mwanaume mashine bhana.. Sifa ya mwanaume mashineee....
Safi... Uje nikupe io zawad sasa, wiki mzima nkukune mkuu
 
Wewe km mwanaume ukijijua nini unataka kwenye mapenzii vivyo hivyo utajua anachotaka mwenza wako
 
Kweli JF raha sana. Mama unatudanganya ati mashine ndo kila kitu. Naona umeona utuweke maboya tu. Tangu lini mwenye mashine kubwa akajulikana kwa kupita tu karibu na mwanamke?? Jaribu kwenda bank u droo mil 2 hivi za kurudisha kesho ili akaunti isije kuwa dormant. Ukipita karibu na vijisichana vya shule tuu utasikia shikamoo nyingi sana. Pita pale na ukwadu japo hogo la jang'ombe lininginie uone ka kuna hata mmoja atakuangalia. Ingelikuwa hivyo, tusingelikuwa na hao Mafutuhi na mafataki mitaani kwetu. Fweza ndo kila kitu. Mazishi ya tajiri utailinganisha na maskini mwenye hogo??
Umekurupuka hujaelewa mtoa mada anachomaanishaaa
 
Kwa nini siku hizi wanaume wamechukulia pesa ndiyo kila kitu kwenye mahusiano? Kuna kitu wanaume wanasahau pesa siyo kila kitu hata uwe na pesa vipi ukashindwa kumkuna mpenzio hujafanya kitu na kwa hizo pesa zako mwanamke atatoka nje na kumhonga mwanaume mwenzio ili amridhishe kitandani amkune kisawasawa.. Mwanaume mashine bhana.. Sifa ya mwanaume mashineee....
Kabla hamjafikishana huoni kuna mengi ya kumvutia na minoti, kauli, haiba n.k ni sehemu ya uamuzi
 
Back
Top Bottom