Pesa si kila kitu mwanaume mashine jamani

Pesa si kila kitu mwanaume mashine jamani

Pesa ndio kila kitu... HILO LIMASHINE NA UWEZO WA KUMSUGUA UTAKUFANYA UKUMBUKWE TUU. ILA UWEZEKANO WA NJEMBA ZENYE VIBAMIA NA HELA ZAO KUKUGONGEA UPO ...
INSHORT MWANAMKE HUWA HAPENDI SHIDA, ANAHITAJI KILA KITU KITIMIZWE HAPO ATARIDHIKA... YANI APATE HOGO+ &NA MIHELA...
 
Sawa amanda cute

Tusaidie ni mwanamke ni nini kama mwanaume mashine
IMG_20170601_081744_197.jpg
hapa mwanaume chagua wa kumkuna.
 
Kwa nini siku hizi wanaume wamechukulia pesa ndiyo kila kitu kwenye mahusiano? Kuna kitu wanaume wanasahau pesa siyo kila kitu hata uwe na pesa vipi ukashindwa kumkuna mpenzio hujafanya kitu na kwa hizo pesa zako mwanamke atatoka nje na kumhonga mwanaume mwenzio ili amridhishe kitandani amkune kisawasawa.. Mwanaume mashine bhana.. Sifa ya mwanaume mashineee....

Umeandika mbwembwe tu lkn uhalisia sisi wanaume tunaujua wenyewe
Pesa kwanza ndiyo utapata demu quality haya mengine ndiyo yanafuatia!
Hata ujue kukuna namba moja duniani bila pesa utaishia kupiga mademu very low quality akina Aisha Ndala Ndefu
Utampiga Lulu sababu una uume mkubwa na unajua sexy?Then ataendesha uume wako?Atakaa Mbezi Beach kwenye uume wako?
Mwanamme hela!
 
Kwa nini siku hizi wanaume wamechukulia pesa ndiyo kila kitu kwenye mahusiano? Kuna kitu wanaume wanasahau pesa siyo kila kitu hata uwe na pesa vipi ukashindwa kumkuna mpenzio hujafanya kitu na kwa hizo pesa zako mwanamke atatoka nje na kumhonga mwanaume mwenzio ili amridhishe kitandani amkune kisawasawa.. Mwanaume mashine bhana.. Sifa ya mwanaume mashineee....

Wala mashine sio kila kitu....pia
 
Pia pesa ikikosekana kwa mume wako utaenda kupigwa mashine na wenye pesa!

Hakika wanawake hamuelewiki ni wimbo gani mnaoupenda nyie kwa sababu mwanaume akiwa mpiga mashine mzuri ila hana pesa ni tatizo.

Umempata mwenye hela ila kupiga mashine hawezi ni tatizo pia.
 
Pesa ndo kila kitu nikiwa na pesa naweza kumgegeda yeyote nimtakaye haijalishi nitamlidhisha au la!, ila kama pesa sina hata confidence inapungua mbele ya mwanamke, lingine nikiwa na pesa sinyenyekei mwanamke mmoja ukiamua kukimbia kila la khery sina muda na wewe.!
 
USIDANGANYIKE KWAMBA UNAWEZA KUMRIDHISHA MWANAMKE KWA CHOCHOTE ....... KAMA MUNGU ALIWAPA NYUSI WAO WANANYOA NA KUCHORA ZAO ... wewe ni Nani
 
Japo maisha siyo kutesa kila siku, ila pesa ndiyo kila kitu...
Vyote ulivyosema ni sawa, il pesa ina nafasi kubwa sana kwenye mapenzi... Kwenye mahusiano mwanamke atakuvumilia vyote lakini hawezi kukuvumilia kwa muda mrefu kama huna pesa huo ndiyo ukweli...

Hakuna apendae maisha ya tabu, maisha ya kuunga unga, maisha ya kusema ipo siku wakati umri unazidi kwenda...

mahondaw wangu ananielewa vizuri sana what i mean...

cc: mahondaw
 
Nayaona yale ya jana nayaonaaaaaaa [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom