Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,272
A na B vyote sawa....lolWewe unapenda ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
A na B vyote sawa....lolWewe unapenda ipi?
Kwa nini siku hizi wanaume wamechukulia pesa ndiyo kila kitu kwenye mahusiano? Kuna kitu wanaume wanasahau pesa siyo kila kitu hata uwe na pesa vipi ukashindwa kumkuna mpenzio hujafanya kitu na kwa hizo pesa zako mwanamke atatoka nje na kumhonga mwanaume mwenzio ili amridhishe kitandani amkune kisawasawa.. Mwanaume mashine bhana.. Sifa ya mwanaume mashineee....

Hujaeleweka mkuuView attachment 517413 hapa mwanaume chagua wa kumkuna.
Nayaona yale ya jana nayaonaaaaaaa [emoji12] [emoji12]Japo maisha siyo kutesa kila siku, ila pesa ndiyo kila kitu...
Vyote ulivyosema ni sawa, il pesa ina nafasi kubwa sana kwenye mapenzi... Kwenye mahusiano mwanamke atakuvumilia vyote lakini hawezi kukuvumilia kwa muda mrefu kama huna pesa huo ndiyo ukweli...
Hakuna apendae maisha ya tabu, maisha ya kuunga unga, maisha ya kusema ipo siku wakati umri unazidi kwenda...
mahondaw wangu ananielewa vizuri sana what i mean...
cc: mahondaw
mazwazwa yasiyokua na pesa hayoooo yashakujaAse mashine ndo kila kitu bana pesa tupa porini
Yani love jana ile Jioni ileee mhmmhmhmhmhmhmhmh