Utaiokota barabarani? Kama wachina wasipotoa?Mradi mmoja tu wa Tanzania wa reli ni zaidi ya $10B sasa China kusema watawekeza $16.6B kwa mwaka kwa miaka 3 kwa Africa nzima ni kichekesho kwa nchi kubwa vile na haita badilisha chochote. China wanaimarisha vitu tu ambavyo vinawasaidia wenyewe kama kusafirisha shabba ya Zambia lakini hawajali kusafirisha watu! Tuache kusifia sifia na kusema ukweli mpaka sasa hii misaada haitutoi tuongeze uzalishaji wetu.
Wewe kijijini kwa Mama yako na baba yako unewekeza miradi ya shilingi ngazi?China hamna ktu tena ni wapuuz sn bora hata mabepari tu.
Ukiwa na kiu ya maji na kupewa bilauri moja ridhika japokuwa kiu yako ni ya kukatwa na jagi zima....Mradi mmoja tu wa Tanzania wa reli ni zaidi ya $10B sasa China kusema watawekeza $16.6B kwa mwaka kwa miaka 3 kwa Africa nzima ni kichekesho kwa nchi kubwa vile na haita badilisha chochote. China wanaimarisha vitu tu ambavyo vinawasaidia wenyewe kama kusafirisha shabba ya Zambia lakini hawajali kusafirisha watu! Tuache kusifia sifia na kusema ukweli mpaka sasa hii misaada haitutoi tuongeze uzalishaji wetu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe kijijini kwa Mama yako na baba yako unewekeza miradi ya shilingi ngazi?
Kichwa kigumu huyo....uelewa finyu...[emoji1787]Utaiokota barabarani? Kama wachina wasipotoa?
Kichekesho kwani pesa yako?
Wewe usiye kichekesho ukoo wako wote umewekeza shilingi ngapi hata kijijini kwenu tu?
[emoji7]Africa ametoa bil. ngapi kuwapa wachina?
Si kweli...China hamna ktu tena ni wapuuz sn bora hata mabepari tu.
Tume jadili sana humu wangine wamejibu nchi kwanza, hivi kweli mchina akupe pesa kizembe, lazima kuna opportunity cost, yaani wanawekeza ili kuwezesha kusafirisha bidhaa zao, lakini wewe, (nchi husika kwenye uwekezaji huo), utalipia uwekezaji huo. There are opportunity seekers, this is one of the traits of successful entrepreneurs, ni moja ya sifa muhimu ya mjasiriamali aliye fanikiwaMradi mmoja tu wa Tanzania wa reli ni zaidi ya $10B sasa China kusema watawekeza $16.6B kwa mwaka kwa miaka 3 kwa Africa nzima ni kichekesho kwa nchi kubwa vile na haita badilisha chochote. China wanaimarisha vitu tu ambavyo vinawasaidia wenyewe kama kusafirisha shabba ya Zambia lakini hawajali kusafirisha watu! Tuache kusifia sifia na kusema ukweli mpaka sasa hii misaada haitutoi tuongeze uzalishaji wetu.
Since when did beggers become chosers?Mradi mmoja tu wa Tanzania wa reli ni zaidi ya $10B sasa China kusema watawekeza $16.6B kwa mwaka kwa miaka 3 kwa Africa nzima ni kichekesho kwa nchi kubwa vile na haita badilisha chochote. China wanaimarisha vitu tu ambavyo vinawasaidia wenyewe kama kusafirisha shabba ya Zambia lakini hawajali kusafirisha watu! Tuache kusifia sifia na kusema ukweli mpaka sasa hii misaada haitutoi tuongeze uzalishaji wetu.
Just facts! about $50B that's it.Since when did beggers become chosers?
Afrika mtu anawaza 10% na mbaya zaidi pesa hiyo niya kula bata na kununua majumba ya kifahari Dubai.Hakika Afrika ni bara la kiza.Wenzetu wanaweka maslahi ya taifa mbele, wanaingia mikataba kwa manufaa ya uchina na kizazi kijacho cha wachina.
Kwetu viongozi ni walafi, wachina wanajua hilo, ndio maana wanawahonga honga viongozi wa kiafrika, yao yanawaendea.