Pesa ya kununulia ndege ipo lakini ya kujenga madarasa hakuna

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,790
Reaction score
288,165

Wanafunzi 400 wanakaa chini, wanatumia chumba kimoja cha darasa​

WEDNESDAY AUGUST 04 2021​

Summary

  • Wanafunzi zaidi ya 400 wa darasa la nne na tano wanakaa chini na kutumia chumba kimoja cha darasa kwenye Shule ya Msingi Bugumbikiso iliyopo kata ya Chifunfu wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza.
T

New Content Item (1)

By Daniel Makaka.
More by this Author

Sengerema.Wanafunzi zaidi ya 400 wa darasa la nne na tano wanakaa chini na kutumia chumba kimoja cha darasa kwenye Shule ya Msingi Bugumbikiso iliyopo kata ya Chifunfu wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza.

Mwalimu mkuu wa shule hiyo, Paul Vicent amesema shule hiyo ina walimu 30 na wanafunzi 3, 118 kuanzia darasa la awali hadi la saba.

Amesema sababu ya kukaa chini ni idadi kubwa ya wanafunzi licha ya Serikali kutoka Sh71 milioni kujenga vyumba vitatu vya madarasa na matundu 10 ya vyoo.

Mbunge wa Sengerema, Hamisi Tabasamu amesikitishwa na hali hiyo licha ya kutoka ushauri kuwa fedha hizo zitumike kujenga shule nyingine ili kuondoa msongamano huo.

Tabasamu amesema ushauri wake ulipuuzwa na viongozi wa Halmashauri hiyo huku akimnyooshea kidogo ofisa elimu msingi Halmashauri ya Sengerema, Donalt Bunonosi kuwa ndiye aliyesababisha hali hiyo kwa kupuuza ushauri.

shulepiccc

Naye Bunonosi amesema hakuwa na maelekezo ya fedha kutumika kujenga shule nyingine bali alikuwa na maelekezo ya kujenga vyumba vitatu vya madarasa na matundu 10 ya vyoo.

Mwenyekiti wa kijiji cha Chifunfu, Dominic Tilosahu amesema wataalamu hawana ushirikiano na wananchi na ndio sababu ya shule hiyo kuendelea kuwa na wanafunzi wanaokaa chini.

Kaimu mkurugenzi Halmashauri ya Sengerema, Ally Salim amesema watazifanyia kazi changamoto za shule hiyo na kuzipatia ufumbuzi.
 
''Amesema sababu ya kukaa chini ni idadi kubwa ya wanafunzi licha ya Serikali kutoka Sh71 milioni kujenga vyumba vitatu vya madarasa na matundu 10 ya vyoo.

Mbunge wa Sengerema, Hamisi Tabasamu amesikitishwa na hali hiyo licha ya kutoka ushauri kuwa fedha hizo zitumike kujenga shule nyingine ili kuondoa msongamano huo.''

Kupanga ni kuchagua. Ni sawa na Chagga gangsters.
 
Kilolo Kuna shule ya matope, madarasa mawili yanafunfishwa kwa wakati mmoja kwenye chumba kimoja.
Kilolo wangepewa hata nusu ya hiyo mil 71 wangekua mbali.
Halafu kesho mtatuambia mwanafunzi aliyesomea kwenye hii hali ana PhD halafu Ni waziri.
 
Wanafunzi 400 wanakaa chini, wanatumia chumba kimoja cha darasa​

WEDNESDAY AUGUST 04 2021​

Summary

  • Wanafunzi zaidi ya 400 wa darasa la nne na tano wanakaa chini na kutumia chumba kimoja cha darasa kwenye Shule ya Msingi Bugumbikiso iliyopo kata ya Chifunfu wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza.
T

New Content Item (1)

By Daniel Makaka.
More by this Author

Sengerema.Wanafunzi zaidi ya 400 wa darasa la nne na tano wanakaa chini na kutumia chumba kimoja cha darasa kwenye Shule ya Msingi Bugumbikiso iliyopo kata ya Chifunfu wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza.

Mwalimu mkuu wa shule hiyo, Paul Vicent amesema shule hiyo ina walimu 30 na wanafunzi 3, 118 kuanzia darasa la awali hadi la saba.

Amesema sababu ya kukaa chini ni idadi kubwa ya wanafunzi licha ya Serikali kutoka Sh71 milioni kujenga vyumba vitatu vya madarasa na matundu 10 ya vyoo.

Mbunge wa Sengerema, Hamisi Tabasamu amesikitishwa na hali hiyo licha ya kutoka ushauri kuwa fedha hizo zitumike kujenga shule nyingine ili kuondoa msongamano huo.

Tabasamu amesema ushauri wake ulipuuzwa na viongozi wa Halmashauri hiyo huku akimnyooshea kidogo ofisa elimu msingi Halmashauri ya Sengerema, Donalt Bunonosi kuwa ndiye aliyesababisha hali hiyo kwa kupuuza ushauri.

shulepiccc

Naye Bunonosi amesema hakuwa na maelekezo ya fedha kutumika kujenga shule nyingine bali alikuwa na maelekezo ya kujenga vyumba vitatu vya madarasa na matundu 10 ya vyoo.

Mwenyekiti wa kijiji cha Chifunfu, Dominic Tilosahu amesema wataalamu hawana ushirikiano na wananchi na ndio sababu ya shule hiyo kuendelea kuwa na wanafunzi wanaokaa chini.

Kaimu mkurugenzi Halmashauri ya Sengerema, Ally Salim amesema watazifanyia kazi changamoto za shule hiyo na kuzipatia ufumbuzi.
1977 tulinunua ndege Boeing 737 .800 mbili ndogo toka Canada. Atakuwa na Barbara, wala hospital . Sembuse wakati huu tuko vizuri sana.
 
Umeandika upuuzi.Ni sawa na kusema PESA ya godoro hakuna ila PESA ya kufungulia duka ipo.Hujui kwamba ndege ni uwekezaji?
 
Wewe hukuona chadema pesa ya kwenda kula bata Dubai na kujilipa madeni yake mwenyekiti inapatikana, ila ya kujenga ofisi ya chama hakuna.
 
Uko vizuri kwenye lipi wewe? Hebu acha kujitoa ufahamu na kuandika pumba. Wafanyakazi Serikalini mwaka wa sita huu hawana nyongeza ya mishahara halafu unasema uko vizuri. Kila mwaka hizo ndege zimeingiza hasara ya 71 billions halafu unasema tuko vizuri!!!! 😳😳😳
1977 tulinunua ndege Boeing 737 .800 mbili ndogo toka Canada. Atakuwa na Barbara, wala hospital . Sembuse wakati huu tuko vizuri sana.
 
Inasikitisha sana kuona makosa yale yale yanajirudia miaka nenda miaka rudi, lini tutajifunza ili vipaumbele vya nchi vitekelezwe bila kucheleweshwa kwa sababu za kipuuzi!?
Hili wala siyo jipya!

Serikali za CCM hazijui namna ya kupangilia vipaumbele.

Ni mwendelezo ule ule tu.
 
Uwekezaji unaoingiza hasara ya bilioni 71 kila mwaka!? Una akili sawa sawa wewe??? [emoji15]
Hakuna biashara isiyoingiza hasara inapoanza.Ndege si kwa ajili tu ya kuingiza faida ATCL.Unajua watalii wangapi wamevutiwa kuja Tanzania baada ya kujua ndege zipo? Unajua biashara ngapi kubwa zimeongeza mapato kwa kuchochewa na uwepo wa safari za haraka za ATCL? Elimu yako ni kiwango gani? Isije nikawa nabishana na mtoto wa kidato cha pili maana hizi akili ni sifuri kabisa!!
 
Wanafunzi 400 wanakaa chini, wanatumia chumba kimoja cha darasa​

WEDNESDAY AUGUST 04 2021​

Summary

  • Wanafunzi zaidi ya 400 wa darasa la nne na tano wanakaa chini na kutumia chumba kimoja cha darasa kwenye Shule ya Msingi Bugumbikiso iliyopo kata ya Chifunfu wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza.
T

New Content Item (1)

By Daniel Makaka.
More by this Author

Sengerema.Wanafunzi zaidi ya 400 wa darasa la nne na tano wanakaa chini na kutumia chumba kimoja cha darasa kwenye Shule ya Msingi Bugumbikiso iliyopo kata ya Chifunfu wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza.

Mwalimu mkuu wa shule hiyo, Paul Vicent amesema shule hiyo ina walimu 30 na wanafunzi 3, 118 kuanzia darasa la awali hadi la saba.

Amesema sababu ya kukaa chini ni idadi kubwa ya wanafunzi licha ya Serikali kutoka Sh71 milioni kujenga vyumba vitatu vya madarasa na matundu 10 ya vyoo.

Mbunge wa Sengerema, Hamisi Tabasamu amesikitishwa na hali hiyo licha ya kutoka ushauri kuwa fedha hizo zitumike kujenga shule nyingine ili kuondoa msongamano huo.

Tabasamu amesema ushauri wake ulipuuzwa na viongozi wa Halmashauri hiyo huku akimnyooshea kidogo ofisa elimu msingi Halmashauri ya Sengerema, Donalt Bunonosi kuwa ndiye aliyesababisha hali hiyo kwa kupuuza ushauri.

shulepiccc

Naye Bunonosi amesema hakuwa na maelekezo ya fedha kutumika kujenga shule nyingine bali alikuwa na maelekezo ya kujenga vyumba vitatu vya madarasa na matundu 10 ya vyoo.

Mwenyekiti wa kijiji cha Chifunfu, Dominic Tilosahu amesema wataalamu hawana ushirikiano na wananchi na ndio sababu ya shule hiyo kuendelea kuwa na wanafunzi wanaokaa chini.

Kaimu mkurugenzi Halmashauri ya Sengerema, Ally Salim amesema watazifanyia kazi changamoto za shule hiyo na kuzipatia ufumbuzi.
Tuliambiwa tuzae elimu ni bure. Wengine tukaoa mpaka wake wanane tunatotoa watoto kama tunateleza. Sasa utoaji wa huduma na mahitaji lugha gongana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Acha ujinga wewe!!!! Watalii wanavutiwa kuja Tanzania kwa kuwa kuna ndege!? 😂😂😂😂😂
Hakuna biashara yoyote iliyochochewa kwa uwepo wa ndege zinazosafiri zikiwa empty. Niliishia la 3B hivyo naweza kusema mimi ni NGUMBARU. Watanzania Wapumbavu kama wewe ni mzigo na hasara kubwa sana kwaTaifa.

Back
Top Bottom