Pesa ya kununulia ndege ipo lakini ya kujenga madarasa hakuna

Pesa ya kununulia ndege ipo lakini ya kujenga madarasa hakuna

Uko vizuri kwenye lipi wewe? Hebu acha kujitoa ufahamu na kuandika pumba. Wafanyakazi Serikalini mwaka wa sita huu hawana nyongeza ya mishahara halafu unasema uko vizuri. Kila mwaka hizo ndege zimeingiza hasara ya 71 billions halafu unasema tuko vizuri!!!! [emoji15][emoji15][emoji15]
Tatizo wewe aupo duniani. Dunia my fend ndege aziruki. Na viwanda avifanyi kazi. Watu pee duniani wanafanya mzunguko ni wana chama wa chadema. Kote tunafanya hasara kwa kila kitu. CHADEMA Oyeeeee atufanyi hasara wakati huu wa COVID19
 
Jifunze kuandika kwanza acha kuandika kama uko kindergarten.
Tatizo wewe aupo duniani. Dunia my fend ndege aziruki. Na viwanda avifanyi kazi. Watu pee duniani wanafanya mzunguko ni wana chama wa chadema. Kote tunafanya hasara kwa kila kitu. CHADEMA Oyeeeee atufanyi hasara wakati huu wa COVID19
 
Aibu sana kwa serikali ya ccm karne hii.
Bado ndege ngapi zinakuja kupark?

IMG_20210805_224932.jpg
 
Aibu sana kwa serikali ya ccm karne hii.
Bado ndege ngapi zinakuja kupark?

View attachment 1882246
Haya matatatioz hayakuanza kwa sababu ya kununua ndege juzi tu. Nchi imekuwa hivi kuanzia miaka ya themanini ingawa Tanzania haijawahi kununua ndege tena zaidi ya zilizoachwa na Nyerere ukiondoa Gulfstream ya Rais lakini bado hakukuwa hata na majengo ya shule au zahananati yaliyojengwa huko vijijini
 
Elewa mada je ndege ni muhimu kuliko elimu?
 
Elewa mada je ndege ni muhimu kuliko elimu?
Una misguided view kuhusu malengo ya matumizi ya fedha za serikali; unadhani kuwa fedha za serikali zinatakiwe zote ziende kutatua tatizo moja la muhimu sana badala ya kuelewa kuwa nchi ina matatizo mengi na hivyo fedha hizo zitagawanywa kidogo kidogo. Zilzotumika kununua ndege kwa mwaka ni sehemu ndogo, nyingine zilikwenda kwenye barabara na madaraja, nyingine zaikaenda kwenye afya na nyingine zikaenda kwenye elimu. Haiwezekani matatizo yote yatatuliwe siku moja tu, Hata ndege zenyewe zimekuwa zinalweta moja moja au mbili kwa mwaka; ni vivyo hivyo kuwa hata mashule yamekuwa yanajengwa kiasi kidogo kidgo kwa mwaka.

Huwezi kusema serikali imejenga mashule mengi mazuri halafu nchi haina zahanati, barabara, reli na ndege. Kama wewe hujui umuhimu wa nchi kuwa na ndege zake katika uchumi wa nchi kaa kimya.
 
Ndege sio tija Sana kuliko elimu,sekta binafsi ingekava ishu ya ndege, ndege ugusa kundi la kipato cha juu.
 
Wanafunzi 400 wanakaa chini, wanatumia chumba kimoja cha darasa​

WEDNESDAY AUGUST 04 2021​

Summary

  • Wanafunzi zaidi ya 400 wa darasa la nne na tano wanakaa chini na kutumia chumba kimoja cha darasa kwenye Shule ya Msingi Bugumbikiso iliyopo kata ya Chifunfu wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza.
T

New Content Item (1)

By Daniel Makaka.
More by this Author

Sengerema.Wanafunzi zaidi ya 400 wa darasa la nne na tano wanakaa chini na kutumia chumba kimoja cha darasa kwenye Shule ya Msingi Bugumbikiso iliyopo kata ya Chifunfu wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza.

Mwalimu mkuu wa shule hiyo, Paul Vicent amesema shule hiyo ina walimu 30 na wanafunzi 3, 118 kuanzia darasa la awali hadi la saba.

Amesema sababu ya kukaa chini ni idadi kubwa ya wanafunzi licha ya Serikali kutoka Sh71 milioni kujenga vyumba vitatu vya madarasa na matundu 10 ya vyoo.

Mbunge wa Sengerema, Hamisi Tabasamu amesikitishwa na hali hiyo licha ya kutoka ushauri kuwa fedha hizo zitumike kujenga shule nyingine ili kuondoa msongamano huo.

Tabasamu amesema ushauri wake ulipuuzwa na viongozi wa Halmashauri hiyo huku akimnyooshea kidogo ofisa elimu msingi Halmashauri ya Sengerema, Donalt Bunonosi kuwa ndiye aliyesababisha hali hiyo kwa kupuuza ushauri.

shulepiccc

Naye Bunonosi amesema hakuwa na maelekezo ya fedha kutumika kujenga shule nyingine bali alikuwa na maelekezo ya kujenga vyumba vitatu vya madarasa na matundu 10 ya vyoo.

Mwenyekiti wa kijiji cha Chifunfu, Dominic Tilosahu amesema wataalamu hawana ushirikiano na wananchi na ndio sababu ya shule hiyo kuendelea kuwa na wanafunzi wanaokaa chini.

Kaimu mkurugenzi Halmashauri ya Sengerema, Ally Salim amesema watazifanyia kazi changamoto za shule hiyo na kuzipatia ufumbuzi.
Ndege zenye hatupandi
 
Back
Top Bottom