Pesa ya kununulia ndege ipo lakini ya kujenga madarasa hakuna

Tatizo wewe aupo duniani. Dunia my fend ndege aziruki. Na viwanda avifanyi kazi. Watu pee duniani wanafanya mzunguko ni wana chama wa chadema. Kote tunafanya hasara kwa kila kitu. CHADEMA Oyeeeee atufanyi hasara wakati huu wa COVID19
 
Jifunze kuandika kwanza acha kuandika kama uko kindergarten.
Tatizo wewe aupo duniani. Dunia my fend ndege aziruki. Na viwanda avifanyi kazi. Watu pee duniani wanafanya mzunguko ni wana chama wa chadema. Kote tunafanya hasara kwa kila kitu. CHADEMA Oyeeeee atufanyi hasara wakati huu wa COVID19
 
Aibu sana kwa serikali ya ccm karne hii.
Bado ndege ngapi zinakuja kupark?

 
Ee Mwenyezi Mungu naomba uturehemu sisi Watanganyika kwa upumbavu na ujinga wa kushindwa kuwajibika ipasavyo..
Wanasiasa watakuambia mabeberu awataki tuendelee,sijui China, brazil, Dubai, Malasyia kule mabeberu wapo likizo.
 
Aibu sana kwa serikali ya ccm karne hii.
Bado ndege ngapi zinakuja kupark?

View attachment 1882246
Haya matatatioz hayakuanza kwa sababu ya kununua ndege juzi tu. Nchi imekuwa hivi kuanzia miaka ya themanini ingawa Tanzania haijawahi kununua ndege tena zaidi ya zilizoachwa na Nyerere ukiondoa Gulfstream ya Rais lakini bado hakukuwa hata na majengo ya shule au zahananati yaliyojengwa huko vijijini
 
Elewa mada je ndege ni muhimu kuliko elimu?
 
Elewa mada je ndege ni muhimu kuliko elimu?
Una misguided view kuhusu malengo ya matumizi ya fedha za serikali; unadhani kuwa fedha za serikali zinatakiwe zote ziende kutatua tatizo moja la muhimu sana badala ya kuelewa kuwa nchi ina matatizo mengi na hivyo fedha hizo zitagawanywa kidogo kidogo. Zilzotumika kununua ndege kwa mwaka ni sehemu ndogo, nyingine zilikwenda kwenye barabara na madaraja, nyingine zaikaenda kwenye afya na nyingine zikaenda kwenye elimu. Haiwezekani matatizo yote yatatuliwe siku moja tu, Hata ndege zenyewe zimekuwa zinalweta moja moja au mbili kwa mwaka; ni vivyo hivyo kuwa hata mashule yamekuwa yanajengwa kiasi kidogo kidgo kwa mwaka.

Huwezi kusema serikali imejenga mashule mengi mazuri halafu nchi haina zahanati, barabara, reli na ndege. Kama wewe hujui umuhimu wa nchi kuwa na ndege zake katika uchumi wa nchi kaa kimya.
 
Ndege sio tija Sana kuliko elimu,sekta binafsi ingekava ishu ya ndege, ndege ugusa kundi la kipato cha juu.
 
Ndege zenye hatupandi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…