division 5
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 204
- 238
sasa wewe hapa ndo umechangia nini zaidi ya kuonyesha mihemko yako!?Alafu hii tabia siipendi sana. Kwani lazima uchangie kama huna cha kuchangia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa wewe hapa ndo umechangia nini zaidi ya kuonyesha mihemko yako!?Alafu hii tabia siipendi sana. Kwani lazima uchangie kama huna cha kuchangia.
Habari wana jf
Baada ya mihangaiko ya hapa na pale ya kutafuta chochote ilimradi mkono uingize kitu kinywani, nimejikuta najiuliza sana haya maswali kuhusu pesa ya Tanzania
-je ni kampuni ipii inahusika kutengeneza na kuprint pesa ya Tanzania??
Iyoo kampuni ikoo wapi na ni private au goverment??
Kama serikali inahusika kuprint pesa mbona serikali inadaiwa mabilioni kutoka nje ,kwanin isiprint pesa za kutosha na kuweza kuwalipa wanaotudai.
Kwanin Tanzania isitengeneze kampuni ya kuprint hela, kama kutimiza sera ya mheshimiwa Tanzania ya viwanda.
Kwanin thamani yetu ya pesa ishuke,na vyuma vikazee (hali ngumu ya maisha kwamba pesa hamna) ,,,, wakati serikali inahusika kwa asiliamia mia katika kuprint pesa?
hiyoo kampuni inayotengeneza pesa wafanyakazi wake wanalipwa nini?? Kwa sababu huwezi kuwa unazalisha mahindi wakati huo huo ulipwe hayo hayo mahindi kama mshahara.
Natumaini humu jf kuna great thinker na wataalamu wa kutosha kuhusu hayo mambo,,, naomba kueleweshwa kwan mpaka sasa sielewi inakuaje
Apoo nimekuelewa kabisa mkuu,,,, sasa izoo kampuni zinazo husika sisi ndo tunazipa mkataba??? Au kuna uaimamizi kutoka world bank na imf
Nafikiri ni Royal Mint UK wanatutengezea sarafu, (coins) noti sina uhakika.
-
Ipo UK ni kampuni binafsi.
-
Sababu unaprint hela za kibongo (shillingi za Tanzania) wakati (economic output) uchumi haujakua. Ili kulipa madeni ya nje inabidi ununue dollars.
Tuchukulie mfano kwa sasa exchange rate ni 1 dollars = 3000tshs. Tuseme Pesa zinazozunguka kwenye system ni 10 trilliioni shillingi na deni la taifa ni 5 trillioni, unaweza kuamua kuprint 5 trillioni ili ulipe deni, lakini kitakachotokea ni kwamba exchange rate itabadilika kutoka 1 dollar = 3000 tshs to 1 dollar = 4500tshs.
Inamaanisha utanunua kiasi kile kile cha dollar kama hapo awali wakati exchange rate ilipokuwa 1 = 3000. Wakati huo huo kwa uchumi wa ndani kutakuwa na madhara makubwa ya mfumuko wa bei (Inflation).
Tunaweza kufanya hivyo, lakini inawezekana ikawa ni gharama kubwa kuliko kuprint kwenye hizi kampuni. Haya ni makampuni makubwa na wana faida za kuwa kuwa wakubwa (big corporation economies of scale) na uzoefu wa muda mrefu. Wana print pesa za nchi nyingi, passport, banki cheki, leseni za magari, na documents and karatasi zingine muhimu.
-
Economic principles, policies and current reality.
-
Wanalipwa kama kawaida kama wafanyakazi wengine wowote duniani kutumia pesa ya nchi husika.
Apoo nimekuelewa kabisa mkuu,,,, sasa izoo kampuni zinazo husika sisi ndo tunazipa mkataba??? Au kuna uaimamizi kutoka world bank na imf
Ulishapataga jibu kwelii,,,,, au mpaka saiz hujajua zinapo toka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Swali nilijiulizaga miaka hiyo
Hahaaaaaa duuFISIEM LTD
Nilishapata jibu mkuu, maraisi majuha waliojenga uchumi wao kwakulazimisha bank kuu ziprint ela nyingi, uchumi ulianguka kabisa!Ulishapataga jibu kwelii,,,,, au mpaka saiz hujajua zinapo toka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
serikali ikikopa nje haikopi fedha za Tz, inapata fedha za kigeni ambazo sisi hatuwezi agiza ziwe printedSawa mkuu nimekuelewa kwa upande flani,,, sasa kama serikal inahusika katika mchakato mzima wa kuprint pesa,,, pesa inapoisha kwenye mzunguko kwanin isiprint nyingine inakimbilia kukopa pesa mataifa mengine??? Hapo inakuaje au nasisi tunanunuaaga pesa???
wakati ukitafakari hilo swali.Sasa mkuu pesa yetu inaonekana inatengeneza na kampuni za ukoo nje,, na serikali inahusika kabisa,,, kwann serikal iishiwe pesaaa,,,, wakati wanaweza kuiamuluu iyoo kampunii print pesa za kutoshaaaa?