Pesa ya Tanzania inatengenezwa na kampuni gani?

Pesa ya Tanzania inatengenezwa na kampuni gani?

Kabla ya kuprint pesa nadhani kutakuwa na vigezo vingi sana ikiwemo uzalishaji wako ndani ya nchi. Huwezi kuprint pesa nyingi ili ulipe deni, lazima process kama hii ipite mpaka Bank ya dunia. Sio hatua ndogo mkuu kuprint pesa.
 
Habari wana jf

Baada ya mihangaiko ya hapa na pale ya kutafuta chochote ilimradi mkono uingize kitu kinywani, nimejikuta najiuliza sana haya maswali kuhusu pesa ya Tanzania

-je ni kampuni ipii inahusika kutengeneza na kuprint pesa ya Tanzania??

Nafikiri ni Royal Mint UK wanatutengezea sarafu, (coins) noti sina uhakika.

-
Iyoo kampuni ikoo wapi na ni private au goverment??

Ipo UK ni kampuni binafsi.

-
Kama serikali inahusika kuprint pesa mbona serikali inadaiwa mabilioni kutoka nje ,kwanin isiprint pesa za kutosha na kuweza kuwalipa wanaotudai.

Sababu unaprint hela za kibongo (shillingi za Tanzania) wakati (economic output) uchumi haujakua. Ili kulipa madeni ya nje inabidi ununue dollars.

Tuchukulie mfano kwa sasa exchange rate ni 1 dollars = 3000tshs. Tuseme Pesa zinazozunguka kwenye system ni 10 trilliioni shillingi na deni la taifa ni 5 trillioni, unaweza kuamua kuprint 5 trillioni ili ulipe deni, lakini kitakachotokea ni kwamba exchange rate itabadilika kutoka 1 dollar = 3000 tshs to 1 dollar = 4500tshs.

Inamaanisha utanunua kiasi kile kile cha dollar kama hapo awali wakati exchange rate ilipokuwa 1 = 3000. Wakati huo huo kwa uchumi wa ndani kutakuwa na madhara makubwa ya mfumuko wa bei (Inflation).

Kwanin Tanzania isitengeneze kampuni ya kuprint hela, kama kutimiza sera ya mheshimiwa Tanzania ya viwanda.

Tunaweza kufanya hivyo, lakini inawezekana ikawa ni gharama kubwa kuliko kuprint kwenye hizi kampuni. Haya ni makampuni makubwa na wana faida za kuwa kuwa wakubwa (big corporation economies of scale) na uzoefu wa muda mrefu. Wana print pesa za nchi nyingi, passport, banki cheki, leseni za magari, na documents and karatasi zingine muhimu.

-
Kwanin thamani yetu ya pesa ishuke,na vyuma vikazee (hali ngumu ya maisha kwamba pesa hamna) ,,,, wakati serikali inahusika kwa asiliamia mia katika kuprint pesa?

Economic principles, policies and current reality.

-
hiyoo kampuni inayotengeneza pesa wafanyakazi wake wanalipwa nini?? Kwa sababu huwezi kuwa unazalisha mahindi wakati huo huo ulipwe hayo hayo mahindi kama mshahara.

Wanalipwa kama kawaida kama wafanyakazi wengine wowote duniani kutumia pesa ya nchi husika.

Natumaini humu jf kuna great thinker na wataalamu wa kutosha kuhusu hayo mambo,,, naomba kueleweshwa kwan mpaka sasa sielewi inakuaje
 
Nafikiri ni Royal Mint UK wanatutengezea sarafu, (coins) noti sina uhakika.

-

Ipo UK ni kampuni binafsi.

-

Sababu unaprint hela za kibongo (shillingi za Tanzania) wakati (economic output) uchumi haujakua. Ili kulipa madeni ya nje inabidi ununue dollars.

Tuchukulie mfano kwa sasa exchange rate ni 1 dollars = 3000tshs. Tuseme Pesa zinazozunguka kwenye system ni 10 trilliioni shillingi na deni la taifa ni 5 trillioni, unaweza kuamua kuprint 5 trillioni ili ulipe deni, lakini kitakachotokea ni kwamba exchange rate itabadilika kutoka 1 dollar = 3000 tshs to 1 dollar = 4500tshs.

Inamaanisha utanunua kiasi kile kile cha dollar kama hapo awali wakati exchange rate ilipokuwa 1 = 3000. Wakati huo huo kwa uchumi wa ndani kutakuwa na madhara makubwa ya mfumuko wa bei (Inflation).

Tunaweza kufanya hivyo, lakini inawezekana ikawa ni gharama kubwa kuliko kuprint kwenye hizi kampuni. Haya ni makampuni makubwa na wana faida za kuwa kuwa wakubwa (big corporation economies of scale) na uzoefu wa muda mrefu. Wana print pesa za nchi nyingi, passport, banki cheki, leseni za magari, na documents and karatasi zingine muhimu.

-

Economic principles, policies and current reality.

-

Wanalipwa kama kawaida kama wafanyakazi wengine wowote duniani kutumia pesa ya nchi husika.
Apoo nimekuelewa kabisa mkuu,,,, sasa izoo kampuni zinazo husika sisi ndo tunazipa mkataba??? Au kuna uaimamizi kutoka world bank na imf
 
BoT wanatengeneza kila kitu. But hyo issue iko chini ya uangalizi wa TISS ndo maana kuna propaganda eti fedha zinatengenezwa nje ya nchi.
 
Apoo nimekuelewa kabisa mkuu,,,, sasa izoo kampuni zinazo husika sisi ndo tunazipa mkataba??? Au kuna uaimamizi kutoka world bank na imf

Ndio tunakubaliana nao mkataba, baada ya wao kushinda tenda. Ni lazima wafuate viwango vya kimataifa ambavyo nchi zote zimekubaliana kuvifuata.
 
Ulishapataga jibu kwelii,,,,, au mpaka saiz hujajua zinapo toka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilishapata jibu mkuu, maraisi majuha waliojenga uchumi wao kwakulazimisha bank kuu ziprint ela nyingi, uchumi ulianguka kabisa!
 
Sawa mkuu nimekuelewa kwa upande flani,,, sasa kama serikal inahusika katika mchakato mzima wa kuprint pesa,,, pesa inapoisha kwenye mzunguko kwanin isiprint nyingine inakimbilia kukopa pesa mataifa mengine??? Hapo inakuaje au nasisi tunanunuaaga pesa???
serikali ikikopa nje haikopi fedha za Tz, inapata fedha za kigeni ambazo sisi hatuwezi agiza ziwe printed
 
Sasa mkuu pesa yetu inaonekana inatengeneza na kampuni za ukoo nje,, na serikali inahusika kabisa,,, kwann serikal iishiwe pesaaa,,,, wakati wanaweza kuiamuluu iyoo kampunii print pesa za kutoshaaaa?
wakati ukitafakari hilo swali.

Hebu fikiria;

Serikali ikiishiiwa hela iagize tuu zichapishwe mpya, inamaana hizo fedha zitakuwa hazilingani na hali halisi ya uchumi wetu kwa maana nyingine fedha itakuwa nyingi kushinda biashara au huduma zinazotolewa.

kinachoipa fedha thamani sio kwamba eti hela ina thamani maana hela sio madini bali ni imani yako wewe na mimi na watu wengine kuwa kwa kupitia noti ya shilingi elfu 10 nitapata bidhaa au huduma sasa kila mtu akiwa na hela kwa vile serikali imechapisha mahela kibao ni kwamba imani yetu na watu wengine juu ya hela yetu itashuka, maana kama wewe una milioni na yule ana milioni kwahiyo moja kwa moja kutakuwa na mfumuko mkubwa sana wa bei maana kila mtu atakuwa na hela hivyo kuishusha thamani yake.

Ili hela iwe na thamani inapaswa iendane na kiwango cha biashara(exchange) kinachofanyika katika nchi yetu,tukijaribu kuchapisha hela nyingi zaidi kushinda kiwango cha exchange ni sawa na kujitekenya tuu wenyewe.
 
Umeanza vizuri lakini umeishia vibaya.
@ "Kama serikali inahusika kuprint pesa mbona serikali inadaiwa mabilioni kutoka nje ,kwanin isiprint pesa za kutosha na kuweza kuwalipa wanaotudai"

this is rubbish
 
Tanzania inahangaika kutengeneza viwanda mh JPM tengeneza kiwanda kimoja tuu cha pesa

Hahaaaa
 
Kiasi cha pesa kilicho Kwenye mzunguko kinatakiwa kiendane na uzalishaji halisi na utoaji wa huduma ,,
 
Back
Top Bottom