Pesa ya Yuan ya China yaanza kuipiku dola ya Marekani sokoni

Pesa ya Yuan ya China yaanza kuipiku dola ya Marekani sokoni

Achana na dola ndgu yangu $$$$ utasoma, utakua, utaajiriwa, utazeeka, utastaafu na kufa uzikwe wkt unaendelea kuota kuna pesa au sarafu itaireplace dola, Labda itawezekana kwa wajukuu au watukuu zako! Hamna mchina wala mtu yyt ataiondoa dola na mmarekani kakaa tu anamtazama! Unajua GDP ya US wewe? Mchina mwenyewe akifungiwa soko la US anazimika siku hiyohiyo acheni kumpa kichwa, products zote anazozalisha hamna mwafrika wala muasia anaweza kununua akamfanya aishi! Hizi story peleka kwa mtogole watakupa big up brother.
Unaongea ujinga gan wewe
 
Umechambua kitaalam lakini maoni yangu sidhani kama Dola itaweza kuondolewa kwenye reli na Yuan. Shida ya mchina ana economic emotion. Hana mikakati thabiti ya kijasusi yeye Akiona anauza tu imeisha. Leo Xi jinping akifa, china itachezewa akili sana. Ila Marekani yeyote atakayeingia pale mikakati ya Kiuchumi iliyopangwa miaka hata 50 iliyopita ni lazima itekelezwe. Hata kama Mchina alikosana na George Bush usije ukadhani kesi iliishia kwa George Bush, baba hiyo Price italipwa tu, hata baada ya miaka mia moja.

Marekani hawatumii usemi wa Africa kwamba usirithi adui, kama uliingia kwenye 18 za Obama usidhani yaliishia hapo, hilo lipo na litalipizwa kisasi hata miaka ishirini ijayo.

Wale jamaa huwa sielewi wanawezaje kutekeleza mikakati iliyopangwa na viongozi waliopita hata miaka hamsini huko, sijui ni Katiba yao au ni kitu gani. Ila nchi zingine Kila kiongozi ana mikakati yake. Kama wewe hukumalizia miradi yako uliandika tu hukufanya ujue itazikwa kwenye kaburi la Sahau.
 
Back
Top Bottom