Pesa za Anwani ya Makazi zimepigwa? Barua ya kuomba wafanya biashara kuchagia ya nini?

Pesa za Anwani ya Makazi zimepigwa? Barua ya kuomba wafanya biashara kuchagia ya nini?

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Nimepata hii barua ninmesikitika Sana. Wakati wa uzinduzi tuliambiwa pesa ipo. Sasa hii barua ni ya Nini? Au ndio kura kwa urefu wa kamba yake? Huku namuona waziri akiwa anatembea na Choppa. Nazani tumeona. Hii barua inamaana gani kwetu wananchi?
Screenshot_20220411-150234_1.jpg
 
Ina Maana serikali kuu haikujipanga?
Au hili linatekelezwa na bajeti za halamashaur[emoji848]
 
Samia alishasema pesa iliyotakiwa kutumika ni nyingi zaidi ya serikali waliyotoa, hivyo akawahimiza watanzania waongezee palipopungua, hapo hakuna kilichopigwa.
 
Samia alishasema pesa iliyotakiwa kutumika ni nyingi zaidi ya serikali waliyotoa, hivyo akawahimiza watanzania waongezee palipopungua, hapo hakuna kilichopigwa.

Si waache tu.!
 
Nimepata hii barua ninmesikitika Sana. Wakati wa uzinduzi tuliambiwa pesa ipo. Sasa hii barua ni ya Nini? Au ndio kura kwa urefu wa kamba yake? Huku namuona waziri akiwa anatembea na Choppa. Nazani tumeona. Hii barua inamaana gani kwetu wananchi? View attachment 2183832
kuna mahala kuna uzembe umefanyika pipa limetoboka maji yanavuja na hakuna anayejali kwakuwa yanavuja taratibu ila ipo siku itajulikana kuvuja taratibu kumepunguza maji.
 
Samia alishasema pesa iliyotakiwa kutumika ni nyingi zaidi ya serikali waliyotoa, hivyo akawahimiza watanzania waongezee palipopungua, hapo hakuna kilichopigwa.
Jamaa kaongea ukweli kabisa
Namkumbuka Rais alisema watanzania waelewa, wakielimishwa kama Kuna Sehemu ya kuchangia basi watafanya ivo
 
Samia alishasema pesa iliyotakiwa kutumika ni nyingi zaidi ya serikali waliyotoa, hivyo akawahimiza watanzania waongezee palipopungua, hapo hakuna kilichopigwa.
Watumie pesa ya tozo za miamala ya simu. Au nazo wameishagawana?
 
Samia alishasema pesa iliyotakiwa kutumika ni nyingi zaidi ya serikali waliyotoa, hivyo akawahimiza watanzania waongezee palipopungua, hapo hakuna kilichopigwa.
Wakati haya yote yanafanyika Waziri anatembea na chopa, unazani hiki ni nini?

Hata hiyo, natamani unitumie hiyo clip/Vedio nisikilize na mimi maana sina kumbukumbu hiyo,
 
MATAGA mbona siwaoni hapo mkichanga muoneshe huo uzalendo mnaousema ili muache kupitisha bakuli maana ni kujidhalilisha.
 
Mama kaweka viongozi madarakani waliofukuzwa na Magufuli kwa sababu ya wizi ama kutokuwa na uwezo wa kufanya kazi, haya ndiyo matokeo yake. Anatuharibia nchi yetu sana.
 
Back
Top Bottom