Pesa za Anwani ya Makazi zimepigwa? Barua ya kuomba wafanya biashara kuchagia ya nini?

Pesa za Anwani ya Makazi zimepigwa? Barua ya kuomba wafanya biashara kuchagia ya nini?

Nimepata hii barua ninmesikitika Sana. Wakati wa uzinduzi tuliambiwa pesa ipo. Sasa hii barua ni ya Nini? Au ndio kura kwa urefu wa kamba yake? Huku namuona waziri akiwa anatembea na Choppa. Nazani tumeona. Hii barua inamaana gani kwetu wananchi? View attachment 2183832
Kama Dodoma Sawa wamezoea hawa kuomba..jokes aside ..tax na tozo zote hizi hii nchi wanataka kutuhamisha TZ au
 
Wakati haya yote yanafanyika Waziri anatembea na chopa, unazani hiki ni nini?

Hata hiyo, natamani unitumie hiyo clip/Vedio nisikilize na mimi maana sina kumbukumbu hiyo,
Hapa sina niliisikia redioni, nina hakika na nilichoandika, Samia mwenyewe alitamka hayo.
 
Hilo zoezi limejaa magumashi huku Kilosa Kuna washkaji wamepiga kazi siku 7 mfululizo halafu malipo wakapewa sh. 20,000/= mambo mengine jamani yanasikitisha
 
Back
Top Bottom