Heee 😳😳😳!!Nimepata hii barua ninmesikitika Sana. Wakati wa uzinduzi tuliambiwa pesa ipo. Sasa hii barua ni ya Nini? Au ndio kura kwa urefu wa kamba yake? Huku namuona waziri akiwa anatembea na Choppa. Nazani tumeona. Hii barua inamaana gani kwetu wananchi? View attachment 2183832
Nchi hii ni tajiri, ukisikia fedha za ndani nd’o hizo mlamu.
Samia alishasema pesa iliyotakiwa kutumika ni nyingi zaidi ya serikali waliyotoa, hivyo akawahimiza watanzania waongezee palipopungua, hapo hakuna kilichopigwa.
Nimeona mataga hapo, nimecheka sana.
Aka....!Tulikuwa na mkutano wetu hapo na wenzetu kina Sang'udi, Jidu La Mabambasi. Jumbe Brown siku hizo labda akiwa ndiye Bia yetu.
kuna mahala kuna uzembe umefanyika pipa limetoboka maji yanavuja na hakuna anayejali kwakuwa yanavuja taratibu ila ipo siku itajulikana kuvuja taratibu kumepunguza maji.Nimepata hii barua ninmesikitika Sana. Wakati wa uzinduzi tuliambiwa pesa ipo. Sasa hii barua ni ya Nini? Au ndio kura kwa urefu wa kamba yake? Huku namuona waziri akiwa anatembea na Choppa. Nazani tumeona. Hii barua inamaana gani kwetu wananchi? View attachment 2183832
Jamaa kaongea ukweli kabisaSamia alishasema pesa iliyotakiwa kutumika ni nyingi zaidi ya serikali waliyotoa, hivyo akawahimiza watanzania waongezee palipopungua, hapo hakuna kilichopigwa.
Watumie pesa ya tozo za miamala ya simu. Au nazo wameishagawana?Samia alishasema pesa iliyotakiwa kutumika ni nyingi zaidi ya serikali waliyotoa, hivyo akawahimiza watanzania waongezee palipopungua, hapo hakuna kilichopigwa.
Wakati haya yote yanafanyika Waziri anatembea na chopa, unazani hiki ni nini?Samia alishasema pesa iliyotakiwa kutumika ni nyingi zaidi ya serikali waliyotoa, hivyo akawahimiza watanzania waongezee palipopungua, hapo hakuna kilichopigwa.
🤣