Nimepata hii barua ninmesikitika Sana. Wakati wa uzinduzi tuliambiwa pesa ipo. Sasa hii barua ni ya Nini? Au ndio kura kwa urefu wa kamba yake? Huku namuona waziri akiwa anatembea na Choppa. Nazani tumeona. Hii barua inamaana gani kwetu wananchi? View attachment 2183832
Hilo zoezi limejaa magumashi huku Kilosa Kuna washkaji wamepiga kazi siku 7 mfululizo halafu malipo wakapewa sh. 20,000/= mambo mengine jamani yanasikitisha