Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Katika kitu ambacho siwezi kufanya ni kuingia gharama Kwa binadamu mwenzangu eti nimsaidie yaani pesa zangu nihangaike kubet dakika 90 za moto nipate mapesa halafu atokee mtu mmoja aseme eti saidia wasiojiweza, mara saidia yatima. Hivi mna akili kweli? Mimi ndio niliofanya watu hao wasijiweze au mimi ndio baba au Serikali ya hao watoto kwenye hii dunia useme utoe hela umsaidie asiejiweza utawamaliza pesa zangu nitazila mpaka nitakapo kufa kamari niicheze Kwa kurisk pesa zangu nyingi halafu wajinga fulani waje kuzila huku nikiwa hai nawaona ningekua sina pesa nani angeniasidia hapana aisee pesa zangu ni zangu najua mtakuja kusema.
Nina roho mbaya potelea mbali.
Nina roho mbaya potelea mbali.