Pesa, zimeliwa, zimepotea, mama kasema by the way matumizi ya pesa yako vizuri, Rais tunaye?

Kuna watu wanamuendesha na Wana mpangia nn cha kufanya na hata aongee nini
 
Ndiyo tunaye na tunatamba naye
 

View: https://x.com/lutherjr___/status/1905551350756229377
 
Kula Kwa Urefu Wa Kamba Ako Ndo Habari Ya Mjin ,,, ulisema tule ila tusivimbiwe ila tuna VIMBIWA mpaka TUNA HALISHA eb ma dr walitazame hiliii
 
Ukipata Fursa serikali piga kisawasawa, hii awamu ni ya kula kwa urefu wa kamba yako, mama👏👏
 
Anakuja na gazeti zima la shutuma na lawama, akipewa cheo anafanya uchafu kuliko hayo yote aliyoyaandika.

Wizi umekuwepo tangu enzi za Mwalimu Nyerere, upigaji ni sifa ya mtanzania bahati mbaya huwezi kumjua mwizi kwa kusoma tu haya maandiko ya lawama, huwa hana alama yenye kumtofautisha.
 
Marehemu bila huruma anabebeshwa lawama
Hakuna Rais wa JMT ambaye hana urafiki na wezi wakubwa. Hata Mwalimu Nyerere na usafi wake alikuwa na waziri aliyefanya ufisadi kwenye suala la kivuko.

Awamu ya kwanza alikuwepo mkurugenzi mmoja ana upara kichwani alipiga pesa nyingi za GAPEX.
 
Nyerere ndiye chanzo cha haya yote. Kutuletea Muungano usioeleweka
Chanzo sio nyerere RIP kwake mzee alipambana Yule. Vipo vyanzo vingi vya umasikini wa mtanzania lkn kubwa kabisa Ni lugha ya kiingereza kwa nijuavyo Mimi mwenyewe lkn.

Siku ambayo mtanzania atajipatia elimu yake kwa lugha ya kiswahili chake ndipo utakuwa mwisho wa makelele yote. Au siku ambayo nchi itaweka utaratibu wa mwanafunzi kuchagua lugha anayoimudu kupatia elimu yake ndipo itakuwa mwisho wa umasikini. Mtaongea mengi lakini uchawi upo hapo.
 
Tatizo uzalendo umepungua sana Tanzania. Ukiwahonga Watanganyika vyeo, pesa, maslahi wanauacha uzalendo wao.

Viongozi wazuri wanawekwa pembeni, wanaletwa machawa kutuongoza. Hii nchi itakuwa utumwani tena chini ya Waarabu, Wachina na Wazungu sababu ya madeni na hao watu kumiliki njia zote za uchumi, kama Bandari, Airport, Misitu, ardhi, masoko yote mkubwa kama kariakoo huyu Samia akiendelea kwa miaka mitano ijao. Yeye anachukua asilimia yake na kuuza rasilimali za nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…