Pesa, zimeliwa, zimepotea, mama kasema by the way matumizi ya pesa yako vizuri, Rais tunaye?

Pesa, zimeliwa, zimepotea, mama kasema by the way matumizi ya pesa yako vizuri, Rais tunaye?

Kila mwenye akili aliposikia Makamo wa Rais amejivua gamba basi alijuwa yajayo ni furaha hata JK sidhani kama alifurahia hilo. Okay yapo mambo tutayajuw zaid ila sunami ipo njiani nchi itasimama kuelekea Oct 025 japo pia naimani wanausaalama wapo imara kila kitu kipo on the table
Ukiwa mwadilifi kidogo unakuwa adui wa utawala, siuonaona mgombea mwenza aliyechaguliwa ni wale wazee wa kupiga ela ndefu... Wanakuambia ni mwanasiasa mkongwe
 
Badala ya kukemea huu wizi, ufisadi anautetea na kuwatetea wezi, mafisadi eti wizi umepungua. Ilibidi wapunzishwe kwenye majukumu yao, wafikishwe mahakamani kujibu tuhuma.
Yani Tanzania ukiwa mwadilifi unaonekana bonge la pimbi
 
Kweli kabisa, maana hii report mpaka imefika kwetu wameshai sugarcoat sana na bado tumeshtuka, je wangeileta kama ilivyo?
Hakuna watumishi wanapokea rushwa kama watumishi wa ofisi ya CAG sema wanapokea kutoka kwa taasisi za umma lakini ni wala rushwa kupita kiasi, fanyeni research
 
Anajali nini wakati kwao mambo safi? Ndiyo maana huwa nataka huu muungano wa migongano uvunjwe kila mtu ajue lake. Tumegeuka koloni la Zenj kinamna kwa wao kujifanya kutudanganya na kudai eti tumewageuza koloni wakati wao ndiyo wametugeuza shamba lao la bibi.
Ubinafsi tu ambao naturally kwa binadamu upo, mtu yoyote akipata chochote lazima akumbuke kwao ndo maana Kuna siku nilisikia budget inayoenda Zanzibar ni nusu na inayobaki bara ni nusu, how comes bara na zenj tugawane nusu kwa nusu, ukizingatia Zanzibar ni ndogo kwa ardhi, rasilimali na idadi ya watu
 
Ukweli tuna rais ambaye uwezo wake wa akili uko chini sana. Hawezi kujua hata ni kipi hakiko sawa katika matumizi ya pesa ya umma.

Na subiri tumpe mitano tena kama machawa wake na Ccm yake wanavyotaka
Tanganyika inaenda kupigwa haijawahi kutokea.

Na kwa kuwa walioapa kuilinda nchi na rasilimali zake wameungana na wezi tujue taifa linahujumuwa sana.
 
Ukweli tuna rais ambaye uwezo wake wa akili uko chini sana. Hawezi kujua hata ni kipi hakiko sawa katika matumizi ya pesa ya umma.

Na subiri tumpe mitano tena kama machawa wake na Ccm yake wanavyotaka
Tanganyika inaenda kupigwa haijawahi kutokea.

Na kwa kuwa walioapa kuilinda nchi na rasilimali zake wameungana na wezi tujue taifa linahujumuwa sana.
Tunahujumiwa kwa kiwango cha lami kwa kweli, ogopa hakimu na mtuhumiwa wakisimama na kuungana dhidi ya mtuhumiwa
 
Mistake kubwa tutakayoifanya kama nchi ni kumpa tena urais huyu maza. Watu hawajiulizi tu hata vitabu vya dini vinakataza mwanamke kuwa kiongozi!
Naunga mkono hoja ni hatari sn, lakini huyu maza ni faida kwa mafisadi ya mali za umma na ndiyo yenye power, sahivi yanaiba mpk yanaamua kulala humohumo, yanakuja na maigizo sijui mama asemewe mara pesa za mama, hovyo kabisa.
 
Ukweli tuna rais ambaye uwezo wake wa akili uko chini sana. Hawezi kujua hata ni kipi hakiko sawa katika matumizi ya pesa ya umma.

Na subiri tumpe mitano tena kama machawa wake na Ccm yake wanavyotaka
Tanganyika inaenda kupigwa haijawahi kutokea.

Na kwa kuwa walioapa kuilinda nchi na rasilimali zake wameungana na wezi tujue taifa linahujumuwa sana.
Inaumiza sn
 
Hakika masikitio na maumivu ni makubwa kama umefuatulia report ya CAG. Kiufupi pesa zimepigwa, pesa zimemumunywa, pesa zimelambwa, everywhere pesa zimepigwa na Rais Samia amepongeza kuwa matumizi mazuri ya pesa za umma yamezingatiwa na akasisitiza kuwa fault inayoonekana ni muunganiko wa report ya miaka ya nyuma akasisitiza kuwa kwa mwaka huu things has improved. Kwa upande wa Rais anataka kutuaminisha kuwa hakika upigaji hakuna, pesa zimetumika kama zilivyopangwa kutumika na hakuna lolote.

Hii ndo picha halisi na namna uongozi wote wa nchi unavyochukulia rasilimali na fedha za umma. Pesa ya umma imekuwa haina mwenyewe kila mtu anajipigia tu and nobody is going to do anything about it.

Tujiulize tu kama report ya CAG imetuonyesha wazi kiwango cha upotevu wa pesa za umma na Rais ye hajaona tatizo katika ilo, are we serious sure kuwa tuna mtetezi hapa kweli? Kama watu wanaweza kupiga mabilioni na kupoteza matrillioni ya pesa na Rais hata hashtuki, tunategemea nini kama nchi? Are we expecting Samia to do better than that?

Nchi ya Tanzania imebarikiwa kila aina ya rasilimali zinazotuwezesha kujitegemea bila kuombaomba ila kujenga uchumi imekuwa ngumu, kukopa na kula raha imekuwa rahisi Leo deni la taifa ni Trillion 100 kasoro. Hatuna viwanda vya nguo, hatuna kiwanda cha mkonge, hakuna viwanda vya kuzalisha at least nusu ya mahitaji yetu kama watanzania, ila Cha kushangaza chupi hadi toothpick tunategemea ku import.

Hii ndo Tanzania iliyokuwa na viwanda kama MWATEX, MUTEX, Sungura Tex, kiwanda cha mkonge, chai, general tire na mashamba ya ngano uko Basutu. Leo tuna deni la Trillion 97.

Kwanini Samia, usijikite hata kwenye ufufuaji wa viwanda vya zamani angalau utatue tatizo la ajira, kwakua viwanda na sekta ya uzalishaji pekee ndo inaweza kuajiri vijana wengi kwa wakati mmoja. Kulikoni deni ni kubwa lakini katika pesa yote iyo bado sekta ya viwanda na uzalishaji serikali imefumbia macho.

Mama Samia, pamoja na pesa nyingi kupotea bila maelezo, najua hakuna atayechukuliwa hatua kwakua hii report ni matokeo halisi ya kula kwa urefu wa kamba go ahead uliyotoa kwa watumishi wa umma wakati unaingia madarani lengo lako ni kuonekana mwema kwa baadhi ya watu at expenses of Tanzanians money.

By the way hii ndo legacy unayoitengeneza ukiamini kuwa utaitwa mtu poa ukitoka madarakani but believe me haohao ulowaruhusu wale kwa urefu wa kamba ndo haohao watakukejeli, watakutukana, watakubagaza na mwisho watasema huyu ndo Rais aliyeruhusu mali za watanzania ziliwe na viongozi wa umma kwa msisitizo wa kula kwa urefu wa kamba.

Mama Samia rudi kwenye misingi Bora ya usimamizi wa rasilimali za umma na popote ulipo Jua nidhamu katika utumishi wa umma imepotea, ubadhirifu wa mali ya umma umeshika hatamu, kula kwa urefu wa kamba ndo habari ya mjini kwakua wewe ndo muhasisi wa hii ideology, vijana mtaani hawana ajira, ila CCM wanakuambia kuwa mama unaupiga mwingi.

Soma Pia: Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025

Ila kama Mungu atakupa hekima ya kuyapokea haya na kuyaelewa basi muombe hekima na ujasiri wa kuchukua hatua ngumu kwa maslahi mapana ya nchi na ikiwezekana chukua notice za kijana mdogo Captain Traore zitakusaidia. Just one move can change our country for good.
Kiuhalisia inauma sana na inaboa sana sijui wapi tunakwenda dah
 
Naunga mkono hoja ni hatari sn, lakini huyu maza ni faida kwa mafisadi ya mali za umma na ndiyo yenye power, sahivi yanaiba mpk yanaamua kulala humohumo, yanakuja na maigizo sijui mama asemewe mara pesa za mama, hovyo kabisa.
Wanamkaanga kwa mafuta yake mwenyewe, akistaafu sijui ataishije maana watamsema sana
 
Back
Top Bottom