hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 6,853
- 4,552
Hesabu hazipandi sasa atasemaje ni mbaya
Kabla ya yote Mimi naomba kuuliza,je,ni kweli kwamba SSH aliukataa urais lakini akalazimishwa kuapishwa?. Kama ni kweli basi kosa ni la huyo mlazimishaji siyo SSHHakika masikitio na maumivu ni makubwa kama umefuatulia report ya CAG. Kiufupi pesa zimepigwa, pesa zimemumunywa, pesa zimelambwa, everywhere pesa zimepigwa na Rais Samia amepongeza kuwa matumizi mazuri ya pesa za umma yamezingatiwa na akasisitiza kuwa fault inayoonekana ni muunganiko wa report ya miaka ya nyuma akasisitiza kuwa kwa mwaka huu things has improved. Kwa upande wa Rais anataka kutuaminisha kuwa hakika upigaji hakuna, pesa zimetumika kama zilivyopangwa kutumika na hakuna lolote.
Hii ndo picha halisi na namna uongozi wote wa nchi unavyochukulia rasilimali na fedha za umma. Pesa ya umma imekuwa haina mwenyewe kila mtu anajipigia tu and nobody is going to do anything about it.
Tujiulize tu kama report ya CAG imetuonyesha wazi kiwango cha upotevu wa pesa za umma na Rais ye hajaona tatizo katika ilo, are we serious sure kuwa tuna mtetezi hapa kweli? Kama watu wanaweza kupiga mabilioni na kupoteza matrillioni ya pesa na Rais hata hashtuki, tunategemea nini kama nchi? Are we expecting Samia to do better than that?
Nchi ya Tanzania imebarikiwa kila aina ya rasilimali zinazotuwezesha kujitegemea bila kuombaomba ila kujenga uchumi imekuwa ngumu, kukopa na kula raha imekuwa rahisi Leo deni la taifa ni Trillion 100 kasoro. Hatuna viwanda vya nguo, hatuna kiwanda cha mkonge, hakuna viwanda vya kuzalisha at least nusu ya mahitaji yetu kama watanzania, ila Cha kushangaza chupi hadi toothpick tunategemea ku import.
Hii ndo Tanzania iliyokuwa na viwanda kama MWATEX, MUTEX, Sungura Tex, kiwanda cha mkonge, chai, general tire na mashamba ya ngano uko Basutu. Leo tuna deni la Trillion 97.
Kwanini Samia, usijikite hata kwenye ufufuaji wa viwanda vya zamani angalau utatue tatizo la ajira, kwakua viwanda na sekta ya uzalishaji pekee ndo inaweza kuajiri vijana wengi kwa wakati mmoja. Kulikoni deni ni kubwa lakini katika pesa yote iyo bado sekta ya viwanda na uzalishaji serikali imefumbia macho.
Mama Samia, pamoja na pesa nyingi kupotea bila maelezo, najua hakuna atayechukuliwa hatua kwakua hii report ni matokeo halisi ya kula kwa urefu wa kamba go ahead uliyotoa kwa watumishi wa umma wakati unaingia madarani lengo lako ni kuonekana mwema kwa baadhi ya watu at expenses of Tanzanians money.
By the way hii ndo legacy unayoitengeneza ukiamini kuwa utaitwa mtu poa ukitoka madarakani but believe me haohao ulowaruhusu wale kwa urefu wa kamba ndo haohao watakukejeli, watakutukana, watakubagaza na mwisho watasema huyu ndo Rais aliyeruhusu mali za watanzania ziliwe na viongozi wa umma kwa msisitizo wa kula kwa urefu wa kamba.
Mama Samia rudi kwenye misingi Bora ya usimamizi wa rasilimali za umma na popote ulipo Jua nidhamu katika utumishi wa umma imepotea, ubadhirifu wa mali ya umma umeshika hatamu, kula kwa urefu wa kamba ndo habari ya mjini kwakua wewe ndo muhasisi wa hii ideology, vijana mtaani hawana ajira, ila CCM wanakuambia kuwa mama unaupiga mwingi.
Soma Pia: Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025
Ila kama Mungu atakupa hekima ya kuyapokea haya na kuyaelewa basi muombe hekima na ujasiri wa kuchukua hatua ngumu kwa maslahi mapana ya nchi na ikiwezekana chukua notice za kijana mdogo Captain Traore zitakusaidia. Just one move can change our country for good.
Wengine wanamlaumu former CDFNyerere ndiye chanzo cha haya yote. Kutuletea Muungano usioeleweka
Walimpa wenyewe sisi na mkuu wa majesh tulitaka majaliwa aongoze jahaz nyie mkamkimbilia katiba haya sasaHakika masikitio na maumivu ni makubwa kama umefuatulia report ya CAG. Kiufupi pesa zimepigwa, pesa zimemumunywa, pesa zimelambwa, everywhere pesa zimepigwa na Rais Samia amepongeza kuwa matumizi mazuri ya pesa za umma yamezingatiwa na akasisitiza kuwa fault inayoonekana ni muunganiko wa report ya miaka ya nyuma akasisitiza kuwa kwa mwaka huu things has improved. Kwa upande wa Rais anataka kutuaminisha kuwa hakika upigaji hakuna, pesa zimetumika kama zilivyopangwa kutumika na hakuna lolote.
Hii ndo picha halisi na namna uongozi wote wa nchi unavyochukulia rasilimali na fedha za umma. Pesa ya umma imekuwa haina mwenyewe kila mtu anajipigia tu and nobody is going to do anything about it.
Tujiulize tu kama report ya CAG imetuonyesha wazi kiwango cha upotevu wa pesa za umma na Rais ye hajaona tatizo katika ilo, are we serious sure kuwa tuna mtetezi hapa kweli? Kama watu wanaweza kupiga mabilioni na kupoteza matrillioni ya pesa na Rais hata hashtuki, tunategemea nini kama nchi? Are we expecting Samia to do better than that?
Nchi ya Tanzania imebarikiwa kila aina ya rasilimali zinazotuwezesha kujitegemea bila kuombaomba ila kujenga uchumi imekuwa ngumu, kukopa na kula raha imekuwa rahisi Leo deni la taifa ni Trillion 100 kasoro. Hatuna viwanda vya nguo, hatuna kiwanda cha mkonge, hakuna viwanda vya kuzalisha at least nusu ya mahitaji yetu kama watanzania, ila Cha kushangaza chupi hadi toothpick tunategemea ku import.
Hii ndo Tanzania iliyokuwa na viwanda kama MWATEX, MUTEX, Sungura Tex, kiwanda cha mkonge, chai, general tire na mashamba ya ngano uko Basutu. Leo tuna deni la Trillion 97.
Kwanini Samia, usijikite hata kwenye ufufuaji wa viwanda vya zamani angalau utatue tatizo la ajira, kwakua viwanda na sekta ya uzalishaji pekee ndo inaweza kuajiri vijana wengi kwa wakati mmoja. Kulikoni deni ni kubwa lakini katika pesa yote iyo bado sekta ya viwanda na uzalishaji serikali imefumbia macho.
Mama Samia, pamoja na pesa nyingi kupotea bila maelezo, najua hakuna atayechukuliwa hatua kwakua hii report ni matokeo halisi ya kula kwa urefu wa kamba go ahead uliyotoa kwa watumishi wa umma wakati unaingia madarani lengo lako ni kuonekana mwema kwa baadhi ya watu at expenses of Tanzanians money.
By the way hii ndo legacy unayoitengeneza ukiamini kuwa utaitwa mtu poa ukitoka madarakani but believe me haohao ulowaruhusu wale kwa urefu wa kamba ndo haohao watakukejeli, watakutukana, watakubagaza na mwisho watasema huyu ndo Rais aliyeruhusu mali za watanzania ziliwe na viongozi wa umma kwa msisitizo wa kula kwa urefu wa kamba.
Mama Samia rudi kwenye misingi Bora ya usimamizi wa rasilimali za umma na popote ulipo Jua nidhamu katika utumishi wa umma imepotea, ubadhirifu wa mali ya umma umeshika hatamu, kula kwa urefu wa kamba ndo habari ya mjini kwakua wewe ndo muhasisi wa hii ideology, vijana mtaani hawana ajira, ila CCM wanakuambia kuwa mama unaupiga mwingi.
Soma Pia: Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025
Ila kama Mungu atakupa hekima ya kuyapokea haya na kuyaelewa basi muombe hekima na ujasiri wa kuchukua hatua ngumu kwa maslahi mapana ya nchi na ikiwezekana chukua notice za kijana mdogo Captain Traore zitakusaidia. Just one move can change our country for good.
Mkuu ni kama Traore, akiamua jambo lake kinakuwa, sasa ilikuwaje nyinyi na mkuu wa majeshi mkashindwa?Walimpa wenyewe sisi na mkuu wa majesh tulitaka majaliwa aongoze jahaz nyie mkamkimbilia katiba haya sasa
Kuna story ya kulazimishwa tena?....ndo maana basiKabla ya yote Mimi naomba kuuliza,je,ni kweli kwamba SSH aliukataa urais lakini akalazimishwa kuapishwa?. Kama ni kweli basi kosa ni la huyo mlazimishaji siyo SSH
Ndiyo shida hiyo... principal of naturality, mwanamke ni mwanamke tu, Kuna kiwango cha majukumu kikifika basi uwezo wake unaishia hapo.Marekani sio wajinga kukataa kutawaliwa na Mwanamke they knew this long before. Mwanamke atakoromaje mbele ya mwanaume bhana???
Kama lawama zake zipo, lazima apeweWengine wanamlaumu former CDF
Wewe mwanamke ebu Wacha ujinga wako hayo mashirika 27 yamepata faida kiasi gani ukilinganisha na jumla ya hasara nchi iliyopata?Maelezo mengi ya CAG na TAKuKURU ni hasara za kiutendaji na sio kuliwa.
Na pia Kuna mashirika 27 out of 31 yamepata faida na ndio msingi wa Rais kusema ufanisi umeongezeka.
Pia 🇹🇿 imekuwa namba 2 Kwa ufanisi wa Mapambano ya Rushwa nyuma ya Rwanda.
Kama wewe unamuelewa kwa upotevu wote wa ela namna hii basi we ndo kiazi haswa au mnufaika wa wizi, nyinyi ndo mnampamba mama kumbe mnamnafikiaWe sikitikia huo uwezo wako mdogo wa kuelewa. Kwa akili hizo huwezi kumwelewa Rais wetu.
Ubovu wa katiba yetu kuruhusu makamu kuwa spea tairi.Rais alikufa 2017, huyu ni care taker tuu!!.
Na ndio maana hajali, yupo tupo tu.
Siku hizi sikasikii kale ka wimbo ka kero za muungano, kameenda wapi?Anajali nini wakati kwao mambo safi? Ndiyo maana huwa nataka huu muungano wa migongano uvunjwe kila mtu ajue lake. Tumegeuka koloni la Zenj kinamna kwa wao kujifanya kutudanganya na kudai eti tumewageuza koloni wakati wao ndiyo wametugeuza shamba lao la bibi.
Mistake kubwa tutakayoifanya kama nchi ni kumpa tena urais huyu maza.
Umejuaje kama ameshindwa? 😂😂👇👇Wewe mwanamke ebu Wacha ujinga wako hayo mashirika 27 yamepata faida kiasi gani ukilinganisha na jumla ya hasara nchi iliyopata?
Siku nyingine kaa kimya huwezi kufukuzwa kazi kwa kuficha upumbavu wako!
Huyu mama ameshindwa uongozi Ndio maana nyie wote mnatumia hovyo kodi za wananchi kwa mambo ya hovyo !
Sio maza ni ccm..
Tazama kauli za kina makala, wasira na vijana mbaliView attachment 3287358
Huu uraisi wa kushtukiza nao ni tatizo, mtu hata halikuwa hajawahi kuwaza kuwa Rais na ghafla kama ajali akawa Rais unategemea nini hapoRais dhaifu hafai kwenye nchi za Kiafrika .
Nadhani pia sheria na kanuni nyingi za kitaifa na kimataifa hazijui kabisa na jasomi.
Inaonekana hata ripoti ya CAG hajaisoma yote zaidi ya kusikiliza ikisomwa kama wananchi wa kawaida .
Katuachia hili balaa la kuungana na ZanzibarSijui alikuwa anawaza nini
Alalamike nani wakati walalamishi wameshika kani wakitesa nasi tukiteseka?Siku hizi sikasikii kale ka wimbo ka kero za muungano, kameenda wapi?