Pesa, zimeliwa, zimepotea, mama kasema by the way matumizi ya pesa yako vizuri, Rais tunaye?

Mama hataki kupambania chochote, anasuburi muda wake uishe tu akapumzike, anaogopa mafisadi watamuua

Yeye ni sehemu kubwa ya kuwezesha na kurudisha ufisadi na kuchagua mafisadi kwenye wizara nyeti. Bila Shaka anapata mgao wake na anaunga mkono yanayotokea.
 
Anajali nini wakati kwao mambo safi? Ndiyo maana huwa nataka huu muungano wa migongano uvunjwe kila mtu ajue lake. Tumegeuka koloni la Zenj kinamna kwa wao kujifanya kutudanganya na kudai eti tumewageuza koloni wakati wao ndiyo wametugeuza shamba lao la bibi.
 
Badala ya kukemea huu wizi, ufisadi anautetea na kuwatetea wezi, mafisadi eti wizi umepungua. Ilibidi wapunzishwe kwenye majukumu yao, wafikishwe mahakamani kujibu tuhuma.
 
Kama alishasema wale kwa urefu wa kamba zao ,unategemea nini hapo?
Hajawahi kutengua hii kauli, au kukemea ufisadi live.

Hana uchungu na Mali za Tanganyika. Wezi wote ndiyo anawaona ni mashujaa kwa upeo wake. Hii kwakwe ni shamba ya bibi.
 
Naifananisha na awamu ya ruksa
Ni zaidi ya JK kwenye ufisadi, kutojali.. Huyu anataka rasimali na biashara zote muhimu zisimamiwe na wageni na mafisadi.

Hataki serikali isimamie chochote. Hana malengo, vision, seriousness, uthubutu kufanya chochote cha maana kwa Tanzania. Anabariki upuuzi wowote unaoendelea sasa hivi.
 
Kwani hamkumsikia Mabeyo akisimulia namna ambavyo watu kadhaa walikuwa tayari kuona katiba inapindishwa ili tu "makamu" asikalie kiti cha Urais...
 
Kwani hamkumsikia Mabeyo akisimulia namna ambavyo watu kadhaa walikuwa tayari kuona katiba inapindishwa ili tu "makamu" asikalie kiti cha Urais...
Viongozi wahuni wote duniani wanatumia katiba kupata madaraka. Wakishapata madaraka wanasema katiba sio kitu, ni kijitabu. Hawaifuati. Ndiyo maana wanajiteua, kuiba chaguzi mchana kweupe, kuwafunga wenye maoni tofauti na yao kama Dr Slaa.

Samia hafuati katiba, kuna tofauti gani wangeipindisha na kutupa mzalendo na Hali ya sasa?
 
Kila mwenye akili aliposikia Makamo wa Rais amejivua gamba basi alijuwa yajayo ni furaha hata JK sidhani kama alifurahia hilo. Okay yapo mambo tutayajuw zaid ila sunami ipo njiani nchi itasimama kuelekea Oct 025 japo pia naimani wanausaalama wapo imara kila kitu kipo on the table
 
Kama tuna uchungu kweli na rasilimali za Tanganyika tusimpe tena nafasi ya kuliongoza Taifa. Tumpe mzalendo, mtanganyika mwenzetu atuongoze
 
Sidhani kama alijivua. Ni kwamba hakukubaliana na ufisadi. Akakazimishwa aunge mkono upigaji, hakukubali upigaji wa Samia. Huyu ni mchumi wa mkubwa, mzalendo. Mpango ni msomi mkubwa duniani.

Wakaamua kumuweka pembeni. Wafuruge uchumi wa nchi.
 
Hakuna Rais wa JMT ambaye hana urafiki na wezi wakubwa. Hata Mwalimu Nyerere na usafi wake alikuwa na waziri aliyefanya ufisadi kwenye suala la kivuko.

Awamu ya kwanza alikuwepo mkurugenzi mmoja ana upara kichwani alipiga pesa nyingi za GAPEX.
Unazungumzia Augustino Mwingira Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi ? huyu Nyerere alimuwajibisha.. na Huyo wa Gapex namkumbuka kwa jina moja James alifunguliwa mashitaka nakumbuka alishinda kesi hiyo... pia alikuja kutajwa kwenye kesi ya Uhaini 1995 km mmoja wa wahusika.
 
Hakuna Rais hapa. Ni bomu tena la kienyeji
 
Labda ananufaika au anahofia uhai wake
 
Hii report ni utapeli tupu, kuna madudu mara 4 kwenye Wizara/Ikulu hakuna ukaguzi zaidi ya usanii na huko ndiyo kuna upigaji mkubwa sn
 
Utaambiwa ni mfuko wa Rais umetumika, na mfuko huo unachangiwa na rafiki zake wafanyabiashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…