Pesa, zimeliwa, zimepotea, mama kasema by the way matumizi ya pesa yako vizuri, Rais tunaye?

Ukiwa mwadilifi kidogo unakuwa adui wa utawala, siuonaona mgombea mwenza aliyechaguliwa ni wale wazee wa kupiga ela ndefu... Wanakuambia ni mwanasiasa mkongwe
 
Badala ya kukemea huu wizi, ufisadi anautetea na kuwatetea wezi, mafisadi eti wizi umepungua. Ilibidi wapunzishwe kwenye majukumu yao, wafikishwe mahakamani kujibu tuhuma.
Yani Tanzania ukiwa mwadilifi unaonekana bonge la pimbi
 
Kweli kabisa, maana hii report mpaka imefika kwetu wameshai sugarcoat sana na bado tumeshtuka, je wangeileta kama ilivyo?
Hakuna watumishi wanapokea rushwa kama watumishi wa ofisi ya CAG sema wanapokea kutoka kwa taasisi za umma lakini ni wala rushwa kupita kiasi, fanyeni research
 
Ubinafsi tu ambao naturally kwa binadamu upo, mtu yoyote akipata chochote lazima akumbuke kwao ndo maana Kuna siku nilisikia budget inayoenda Zanzibar ni nusu na inayobaki bara ni nusu, how comes bara na zenj tugawane nusu kwa nusu, ukizingatia Zanzibar ni ndogo kwa ardhi, rasilimali na idadi ya watu
 
Ukweli tuna rais ambaye uwezo wake wa akili uko chini sana. Hawezi kujua hata ni kipi hakiko sawa katika matumizi ya pesa ya umma.

Na subiri tumpe mitano tena kama machawa wake na Ccm yake wanavyotaka
Tanganyika inaenda kupigwa haijawahi kutokea.

Na kwa kuwa walioapa kuilinda nchi na rasilimali zake wameungana na wezi tujue taifa linahujumuwa sana.
 
Tunahujumiwa kwa kiwango cha lami kwa kweli, ogopa hakimu na mtuhumiwa wakisimama na kuungana dhidi ya mtuhumiwa
 
Mistake kubwa tutakayoifanya kama nchi ni kumpa tena urais huyu maza. Watu hawajiulizi tu hata vitabu vya dini vinakataza mwanamke kuwa kiongozi!
Naunga mkono hoja ni hatari sn, lakini huyu maza ni faida kwa mafisadi ya mali za umma na ndiyo yenye power, sahivi yanaiba mpk yanaamua kulala humohumo, yanakuja na maigizo sijui mama asemewe mara pesa za mama, hovyo kabisa.
 
Inaumiza sn
 
Kiuhalisia inauma sana na inaboa sana sijui wapi tunakwenda dah
 
Naunga mkono hoja ni hatari sn, lakini huyu maza ni faida kwa mafisadi ya mali za umma na ndiyo yenye power, sahivi yanaiba mpk yanaamua kulala humohumo, yanakuja na maigizo sijui mama asemewe mara pesa za mama, hovyo kabisa.
Wanamkaanga kwa mafuta yake mwenyewe, akistaafu sijui ataishije maana watamsema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…