Peter Gasaya, Boss wa JATU apandishwa Mahakamani. Wale mliotapeliwa na JATU poleni

Peter Gasaya, Boss wa JATU apandishwa Mahakamani. Wale mliotapeliwa na JATU poleni

Kuna mtu niliwahi kumwambia hakunielewa.

Huwezi kuwa na mpango kazi wa kutanua biashara nje ya mipaka ya nchi na wakati huo huo mkurugezi mtendaji ajiuzulu.

Ilikuwa dalili tosha wapo katika hatua ya kutoweka.

Leo nitamkumbusha tena.
 
Jatu ni wale jamaa wa kipindi waliokuna na ule mchezo wa unatoa pesa alafu unalimiwa unauziwa. Mwisho wa siku watu wakatapeliwa...
Mahakamani ni geresha.

Hela zitarudi kwa wenyewe au serikali itaziiba kwa mujibu wa sheria?
 
Mpoto alitumika kuwahamasisha watu...teh teh
Nchi hii ina wajng wengi sana

Ova

Jamaa walikuwa wapo katika fronti zone zote kuhakikisha wanawafikia walengwa

2021
2 Julai 2021
MKURUGENZI wa JATU PLC Atoa NEEMA Kwa WAFANYABIASHARA Katika MAONESHO ya SABASABA...

JATU PLC ni kampuni ya Umma inayojihusisha na Kilimo, Viwanda na Masoko. Kampuni hii imeanzisha Kampeni ya Kumiliki HISA 10 kwa Tsh 5000 tu kwenye Kampuni hiyo.

Source : Global TV online
 

Troubled JATU appoints Mohamed Simbano as Acting CEO in bid for direction​

by

12/08/2022

The Board of Directors of JATU Public Limited Company (JATU PLC) has appointment Mohamed Simbano who has been the company secretary and General Manager since 2016 as the Acting Chief Executive Officer (CEO) as the hunt a new CEO continues.
The Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) listed company has recently been engulfed in management – shareholder woes with recent media reports attributing the division to the company’s failure to meet dividend commitments for its shareholders.
JATU.jpeg
The Capital Market and Securities Authority (CMSA) Chief Executive Officer Nicodemus Mkama (center) poses for a photo with the JATU Chief Executive Officer Peter Gasaya (right) whose tenure has ended during a function to list the company on the Dar es Salaam Stock Exchange in 2020. Mohamed Simbano (not in photo) has been appointed as Acting CEO. Photo / courtesy.

During its extra ordinary meeting held on July 25, 2022, the company’s board approved the restructuring of company’s administration and business model.

The Acting CEO and new CEO will be tasked with setting up the firm’s strategy, divesting assets, and restoring investor confidence.

“As part of the implementation of the restructuring of the company, the Board of Directors is hereby announcing the departure of Mr. Peter Isare Gasaya as the Chief Executive 0fficer (CEO) of JATU PLC effective from 1st of August 2022,”the JATU Plc Board Chairman, Eng. Dr. Zaipuna Obed Yonnah said in a statement.

The board thanked Gasaya for his efforts, passion and commitment during his six years of leadership of at JATU Since 2016.

“We wish him all the best in his new role as will be further announced by the company,” the statement said.
The board called upon competent candidates to apply for the senior positions as announced by the company through the public notice published on 27 July 2022.

JATU which was officially registered in 2016, was originally listed on the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) in November, 2020 listing 2.1 million shares and issued an additional 15 million ordinary shares through an Initial Public Offering (IPO) in June 2021.

During the IPO, its shares were offered at a price of 500/- per share but the company’s share price depreciated by 18 per cent closing at 410/-at the last day of trading last year.

The company’s share price surged more than 58 per cent during the first week of trading at the DSE last year with analysts predicting a positive outlook for the company due to its unique and innovative business model.

Disaster has since the beginning of this year strike with the company’s share price plummeting closing at 300/-during last week’s trading session.

Stock analysts however attribute the fall in JATU share price to bad investor sentiments, which has created panic in the market.
 
Duh,
DECI,
RIFARO,
D9,
KAYLINDA,
Mr. KUKU,
Q Net,
etc.

Hawa wote na Wengineo wa aina hii hawakua wanajificha, bali wanafanya hadharani na hata baadhi ya viongozi serikalini ni wanachama wao.

Hivi serikali ilishindwa vipi kuwazuia kabla watu wengi zaidi hawajatapeliwa? Ilishindwa vipi kumfuata na kuuliza awaeleze program yake inafanya vipi kazi ili kama ni utapeli wamchukulie hatua hapo hapo?
 
Back
Top Bottom