Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana,sikujiungaHukujiunga?
Ndio maana hapo nimeandika neno exposure minus AfricanacityMkuu mbona ukichunguza vizuri walio tapeliwa ni watu wenye elimu ya juu, kwasababu mwananchi wa chini kabisa hawaijui hii kampuni
Atamiliki vipi peke yake wakati hiyo ni network?Dah!..Kijana alikuwa ametusua aisee....kumiliki B5 sio mchezo..
Na imeanza mwaka 2016. Kwahiyo 32-7 =25.Dogo miaka 32 tu aise
Akili kubwa....Hizi kampuni za upatu zina watu wakubwa nyuma yake, Wataanza hivi hivi baadae wanamfanya mmojawapo mbuzi wa kafara na hiyo ni mipango tu ili ionekane kuwa watu wameibiwa na serikali imeliona hilo.
JATU, Mr Kuku, Vanila village ni watu wazito Serikalini, Jiulize Mr Kuku yuko wapi? Alishafungwa jela? Tena ametoka na akawakolia waganga watoe tena ili aje alipe awalipe taratibu kinyume chake yeye hana hela zimechukuliwa na Serikali.
Mkitaka kujua hizi biashara zina watu wakubwa nyuma yake, fanyeni kitu kimoja tu, kagawaneni mali zote kuanzia majengo na vinginenvyo vamieni muone moto wa serikali, yaani hapa mali hizo zitalindwa kwa nguvu zote.
Wale wanaomdai Mr Kuku siku jotoeni ufahamu kavamieni shamba lake la kuku mbebe kuku wa kutosha kufidia deni muone nguvu ya mlevi.