uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Miaka haina uhusiano na hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukujiunga?Aisee
Hii kitu hata Mimi nilitaka kuingia!!,Jatu ni wale jamaa wa kipindi waliokuna na ule mchezo wa unatoa pesa alafu unalimiwa unauziwa. Mwisho wa siku watu wakatapeliwa.
Hatimaye kaingia kwenye 18, serikali imemkamata na kumshtaki kwa kujipatia bil 5 kwa njia za udanganyifu wa kutapeli watu.
Naipongeza serikali, Ila pia na nyie wabongo wenzangu tumieni akili. Nani akulimie akuuzie, wewe kazi yako kusubiri pesa tu.
Mtatapeliwa hadi lini? Mr.Kuku aliwachapa, Ila hamkusikia, Kuna vanilla aliwachaapa pia, namaingo , akaja Jatu, na Sasa Kuna wale soila.
Mbaya zaidi hawa watu hupata vibaraka na watetezi wengi sana pale wanapoanza huu utapeli, wenye akili wakionya tu basi hushambuliwa.
Naiomba serikali hii iwe mara ya mwisho, wakitapeliwa tena achaneni na hizi kesi. Acheni watu watapeliwe mpaka akili ziwakae sawa
Kijana mzembe alitakiwa aondoke nchini kwenda kuishi ulaya, wenzie raia waki geni wakivuna pesa za wajinga wanaondokaEmbu wakuu njoo tuseme kitu maana tahadhari zote zilitolewa hapa hapa dhidi hyo kampuni ya jatu ,leo hi nimesikia kijana wa miak 32 ndie mmiliki was kampuni hyo ya kitapeli ,ameshtakiwa kwa kuchukua Zaid ya billion 5 za watu Kisha kuzungisha katika kilimo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu mbona ukichunguza vizuri walio tapeliwa ni watu wenye elimu ya juu, kwasababu mwananchi wa chini kabisa hawaijui hii kampuniKinachoniuma bado watu hawashtuki yan wa TZ ni kama tuko mazezeta vile. Wataibuka wengine na wengine na bado watu wataenda kuwekeza tu.
Elimu, Elimu Elimu+Exposure minus Africanacity
Saba mpaka nane hapo umehudumia vizuri huduma zote stahiki usipofanya hivyo ningunia mbili au tatuKawaida ekari moja ni gunia ngapi mkuu
Nimecheka hadi nimetoa ushuzi huku tunakunywa chai na boss wangu daah aibu hiiNilishangaa sana hesabu zao za kwenye kilimo Cha maharage! Eti' eka moja ya maharage inatoa gunia 14!
Daaa dogo ni mwamba aisee9 February 2022
Balozi maalum Mrisho Mpoto asaini dili nono la miaka 3 na JATU PLC ,
Dah!...Waliotapeliwa humu hawamo , humu wamo waliotapeliwa na Ontario aka sirjeff denis
Viongozi wetu ni vilaza Sana unaweza kuta hata wao wamepigwa mkuuNilichoshangaa kaingizwa mpaka soko la hisa DSE.
serikali na hawa watu wanajuana
Dah!..Kijana alikuwa ametusua aisee....kumiliki B5 sio mchezo..