Peter Kibatala ajitoa kuwatetea Bulaya na Mdee kwenye kesi ya kuvamia Gereza la Segerea inayowakabili

Hawa si wameshafukuzwa CHADEMA? ina maana Chama chao kimejitoa kuwatetea au hakitajihusisha nai tena?
Tanzania ya maajabu, kuna waliohamia CCM Mwendesha mashtaka akawafutia Kesi
sasa kosa walilolifanya lilitokana kisiasa na CDM
Msaada hapo tutani Petro E. Mselewa
 
Vema wangewakilishwa na Wakili Mkuu wa Serikali(Solicitor General)
 
Wao ndio wametafuta Wakili mwingine hawana imani na Kibatala!
 
nasema uongo ndugu zangu??🙄
 
Ndio mkuu
mkuu kwa taarifa yako. Tz ina raia kama 56M na ccm ina wanachama hai ( wenye kadi) karibia 26M bado ambao hawana kadi kama wote sasa cdm mtakuwa nao wangapi?? Kumbuka wapiga kura nikama 30M
Tembelea blog zao ccm ujionee mkuu😉
 
Hata hivyo DPP hana nia ya kuendelea na kesi hiyo maana haina maslahi kwa taifa
 
mkuu kwa taarifa yako. Tz ina raia kama 56M na ccm ina wanachama hai ( wenye kadi) karibia 26M bado ambao hawana kadi kama wote sasa cdm mtakuwa nao wangapi?? Kumbuka wapiga kura nikama 30M
Tembelea blog zao ccm ujionee mkuu😉
Nimezaliwa na kuishi Tanzania kwa takribani miaka 48,hakuna kitu utanidanganya.
Ccm imebakiza mtaji Wa wazee tu,ila vijana ndio wengi kuliko wazee na majority wamezaliwa kipindi cha vyama vingi,na hwaijui ccm.
Mi mwenyewe Nina kadi ya ccm ila sio mwanaccm,Nina kadi ya ccm kuzuga tu nisinyanyaswe.na wengi ndo tulivyo kwa hiyo usijdanganye.

Kituo nilichopiga kura nilikuwa na orodha ya wapiga kura 400,mpaka SAA nane naondoka kituoni nilikuwa wapiga kura 86/waliojitokeza lakini wakati

wa matokeo ikaonekana wapiga kura 396/walipiga kura.ila mpaka mwisho hawakufika 200.
 
Simu moja tu hiyo kesi inafutwa.
 
je unafaham kwamba nimesimamia uchaguzi huu 2020??
Unataka useme kipindi unapga kura ulipewa taarifa kuwa wangapi wamepiga kura?? Wewe kama nani kwanza??
Propaganda za kishamba kabisa mkuu🤔
Any way nilichogundua wewe pia ni ccm dam zaidi hata ya polepole😂😂

Kama sio kadi ya nini kama mwanamapinduzi kweli??🤗
 
Ccm bana toka mmewanunua basi mmekuwa watetezi wao .wachukueni sisi tumewakataa.
Kwa nini chama chenu hakiwapendi akina mama? Watu wamevunjwa mikono wakikitetea chama, leo wanafukuzwa na kusemwa na watu ambao mliogopa hata kutoka nje ya nyumba zenu Wakati viongoz wametangaza maandamano kupinga matokeo ya uchaguzi uliopita.
 
kuna kituo kimoja Temeke kilitwa B , maana kulikuwa na A , B , C , na D , Msimamizi aliniambia kwamba jumla ya wapiga kura walikuwa 150 lakini wapiga kura waliojitokeza hawakufika 100 , Tundu Lissu alipata kura 76 , Magufuli 16 , zilizobaki waligawana wengine .

lakini nje ya kituo hicho ikabandikwa Magufuli 374 , Tundu Lissu 26 , huku ndio kuungwa mkono kwa ccm unakokusema ?
 
Kwa nini chama chenu hakiwapendi akina mama? Watu wamevunjwa mikono wakikitetea chama, leo wanafukuzwa na kusemwa na watu ambao mliogopa hata kutoka nje ya nyumba zenu Wakati viongoz wametangaza maandamano kupinga matokeo ya uchaguzi uliopita.
Chama kisichowapenda akina mama kinawezaje kuweka wagombea wengi wanawake kwenye ubunge na udiwani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…