Peter Kibatala: Askofu Gwajima yupo mafichoni, mteja wangu hajakamatwa

Peter Kibatala: Askofu Gwajima yupo mafichoni, mteja wangu hajakamatwa

Ktk hali isiyokuwa ya kawaida jasusi limemkimbia na kwenda kujificha mahala kuikojulikana. Jasusi hilo lililoahidi kupambana na wowote atakayelichokonoa, limekimbizwa kizembe sana na mama.

Juhudi za kufahamu mahala lilipo jasusi litokalolo peponi bado zinaendelea.
 
Mussa alipokuwa Mdogo alienda kulelewa kwa Farao kama sehemu ya familia ya Mfalme!

Baadae akaua Mmisri, aliposhtukiwa akakimbilia huko maporini ambapo Mungu aliandaa ukombozi!

You are a stupid fool kutoelewa Biblia na kujidai kama unajua sana, ukifikiri mambo ya Mungu ni black and White
 
Mmemsifia weeeee halafu sasa hivi anaishi kama digidigi nyie ni mambwa
 
Back
Top Bottom