Hivi unaishi hapa nchini?Halafu ata wakienda watasaidia nini.
Donald Trump ameshakata mirija ya nyonyo Tanzania.
Nchi kama US hana tena tools za kutumia ‘soft powers’ Tanzania ku-influence government behaviour.
Sisemi huko mahakamani haki isitendeke, ila hao wazungu wenu hawana kitu cha kuitishia nacho serikali tena kama misaada washakata tayari.
Jiongeze kidogo kufahamu USA na EU pekee Wana influence kiasi Gani then jifurahishe tena!