PreGE2025 Peter Kibatala: Nitawaalika Mabalozi na Jumuiya za Kidiplomasia kwenye Kesi ya Lissu Aprili 24, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Umbumbu wa CCM unawatesa sana. Kazi kuhangaika na machinga bodaboda, mamantilie na mwaipopo badala ya kukaa nakujadili mambo ya kisomi na wasomi. Sasa angalieni hapa chini.

"NO Reforms No election ".

"NA PETER KIBATALA ANENA"

"Jaribio lolote la kutomfikisha Mahakamani Antipas Tundu Lissu Mughwai on 24th April 2025 will be met with stiff legal resistance;We trust that those responsible will not partake in any such hare-brained schemes.

We want Antipas Tundu Lissu Mughwai to be tried in full Public view; let the burden of shame be carried by the deserving side, of course we know which side that will be. Time is,as always,the final victor.

Tomorrow, 22nd April 2025, I will officially write to the Embassies of the Diplomatic Corp in Tanzania;inviting their Officers to attend Mr. Lissu's scheduled case,and witness Tanzanian Justice at play.

I will also write to the Heads of all major religious denominations:similarly inviting them to witness what is being done in the name of the Nation.

The case has intra-National, and International implications;and we require complete apparency.

We wish the whole World to witness how the Tanzania Police Force will be dealing with the statutory right of the Public to attend such momentous criminal proceedings;and learn for themselves what Treason actually entails."

IMG-20250421-WA0112.jpg
 
Huyu jamaa tu ndio mwamba aliyebakia na haongeki kirahisi a.k.a Peter kibatala kongole sana kwake 👏👏👏
 
Halafu ata wakienda watasaidia nini.

Donald Trump ameshakata mirija ya nyonyo Tanzania.

Nchi kama US hana tena tools za kutumia ‘soft powers’ Tanzania ku-influence government behaviour.

Sisemi huko mahakamani haki isitendeke, ila hao wazungu wenu hawana kitu cha kuitishia nacho serikali tena kama misaada washakata tayari.
Screenshot_2025-04-09-15-20-23-1.png
 
Ja
Tukutanee Kisutu....no reforms no election .....
Jamhuri sio wajinga Wana Akili sidhani kama tar 24 watatokea mahakamani lazima wakimbie hiyo siku...
Tar 24 hakimu hatakiwepo mahakamani wala mashahidi Kwa upande wa jamhuri
 
Jaribio lolote la kutomfikisha Mahakamani Antipas Tundu Lissu Mughwai tarehe 24 Aprili 2025 litakutana na upinzani mkali wa kisheria. Tunaamini kuwa wale walio na dhamana hawatajishughulisha na mipango ya kipuuzi ya aina hiyo.

Tunataka Antipas Tundu Lissu Mughwai ashtakiwe hadharani kabisa; aibu iwabebe wanaostahili. Bila shaka tunafahamu upande upi utabeba mzigo huo. Kama kawaida, muda ndio mwamuzi wa mwisho.

Kesho, tarehe 22 Aprili 2025, nitaandika rasmi kwa Mabalozi wa Jumuiya ya Kidiplomasia waliopo Tanzania, nikiwaalika maafisa wao kuhudhuria kesi ya Bw. Lissu iliyopangwa, ili wajionee kwa macho yao jinsi haki inavyotendeka nchini Tanzania.

Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

Aidha, nitaandika kwa Viongozi Wakuu wa Madhehebu Makuu ya Dini, nikiwaalika pia kuhudhuria na kushuhudia kinachofanyika kwa jina la Taifa.

Kesi hii ina athari za Kitaifa na Kimataifa; na tunahitaji uwazi wa hali ya juu.

Tunataka Dunia nzima ijionee jinsi Jeshi la Polisi la Tanzania litakavyoshughulikia haki ya Kikatiba ya Umma kuhudhuria mashauri ya jinai ya aina hii yenye uzito mkubwa; na wajifunze kwa dhahiri maana halisi ya kosa la uhaini.

Jaribio lolote la kutomfikisha Mahakamani Antipas Tundu Lissu Mughwai on 24th April 2025 will be met with stiff legal resistance;We trust that those responsible will not partake in any such hare-brained schemes.

We want Antipas Tundu Lissu Mughwai to be tried in full Public view; let the burden of shame be carried by the deserving side, of course we know which side that will be. Time is,as always,the final victor.

Tomorrow, 22nd April 2025, I will officially write to the Embassies of the Diplomatic Corp in Tanzania;inviting their Officers to attend Mr. Lissu's scheduled case,and witness Tanzanian Justice at play.

I will also write to the Heads of all major religious denominations:similarly inviting them to witness what is being done in the name of the Nation.

The case has intra-National, and International implications;and we require complete apparency.

We wish the whole World to witness how the Tanzania Police Force will be dealing with the statutory right of the Public to attend such momentous criminal proceedings;and learn for themselves what Treason actually entails.
Sasa hao watasaidia nini, ilihali Congo watu wanakufa na hizo balozi zipo tu.
 
View: https://youtu.be/K6NdiH1z9VU?si=NY9DRNBe227je2q_
➡Kwa uzoefu wa kesi za namna hii kuanzia ya ugaidi wa Freeman Mbowe, ya uhaini wa Dr Slaa na Boniface Jacob a.k.a Boniyai waendesha mashitaka wa serikali hucheza mchezo huu sana kwa sbb serikali hufungua kesi za namna kwa wanasiasa wapinzani kwa nia ovu..

➡Awaandikia barua za mwaliko mabalozi na viongozi wa dini kuhudhuria kwenye kesi ili washuhudie uhaini wa Tundu Lissu uliotengenezwa na police wa Tanzania...

➡Awaonya polisi kuacha kuingilia utaratibu na shughuli za mahakama kwa katazo lao haramu lisilozingatia sheria...

➡Polisi na serikali hawapaswi kujikanyaga kanyaga na kuanza ku-terrorize wananchi wanaotaka kuja mahakamani kusikiliza kesi ya kiongozi wao. Wao ndio wameshitaki Tundu Lissu kwa uhaini, badi walete ushahidi wao mahakamani ili tupige kazi na watu wauone huo uhaini wa Lissu...

##Sikiliza mahojiano haya kwenye audio video hiyo☝🏻☝🏻
##NO REFORMS NO ELECTION
##FreeTunduLissu now
 
Sasa hao watasaidia nini, ilihali Congo watu wanakufa na hizo balozi zipo tu.
Mabalozi wakaohudhuria kesi hii ya Uhaini watakuwa wanaingilia masuala yetu ya ndani ya nchi, itoshe Mahakama.

They should be declared persona non-grata!
 
Jaribio lolote la kutomfikisha Mahakamani Antipas Tundu Lissu Mughwai tarehe 24 Aprili 2025 litakutana na upinzani mkali wa kisheria. Tunaamini kuwa wale walio na dhamana hawatajishughulisha na mipango ya kipuuzi ya aina hiyo.

Tunataka Antipas Tundu Lissu Mughwai ashtakiwe hadharani kabisa; aibu iwabebe wanaostahili. Bila shaka tunafahamu upande upi utabeba mzigo huo. Kama kawaida, muda ndio mwamuzi wa mwisho.

Kesho, tarehe 22 Aprili 2025, nitaandika rasmi kwa Mabalozi wa Jumuiya ya Kidiplomasia waliopo Tanzania, nikiwaalika maafisa wao kuhudhuria kesi ya Bw. Lissu iliyopangwa, ili wajionee kwa macho yao jinsi haki inavyotendeka nchini Tanzania.

Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

Aidha, nitaandika kwa Viongozi Wakuu wa Madhehebu Makuu ya Dini, nikiwaalika pia kuhudhuria na kushuhudia kinachofanyika kwa jina la Taifa.

Kesi hii ina athari za Kitaifa na Kimataifa; na tunahitaji uwazi wa hali ya juu.

Tunataka Dunia nzima ijionee jinsi Jeshi la Polisi la Tanzania litakavyoshughulikia haki ya Kikatiba ya Umma kuhudhuria mashauri ya jinai ya aina hii yenye uzito mkubwa; na wajifunze kwa dhahiri maana halisi ya kosa la uhaini.

Jaribio lolote la kutomfikisha Mahakamani Antipas Tundu Lissu Mughwai on 24th April 2025 will be met with stiff legal resistance;We trust that those responsible will not partake in any such hare-brained schemes.

We want Antipas Tundu Lissu Mughwai to be tried in full Public view; let the burden of shame be carried by the deserving side, of course we know which side that will be. Time is,as always,the final victor.

Tomorrow, 22nd April 2025, I will officially write to the Embassies of the Diplomatic Corp in Tanzania;inviting their Officers to attend Mr. Lissu's scheduled case,and witness Tanzanian Justice at play.

I will also write to the Heads of all major religious denominations:similarly inviting them to witness what is being done in the name of the Nation.

The case has intra-National, and International implications;and we require complete apparency.

We wish the whole World to witness how the Tanzania Police Force will be dealing with the statutory right of the Public to attend such momentous criminal proceedings;and learn for themselves what Treason actually entails.
Mimi binafsi ninaomba kila siku Lissu AHUKUMIWE KUNYONGWA HADI KUFA!
 
Kwani wewe mwenzetu ujaona bado US Aid hadi mabango ya ofisi huko marekani Elon Musk keshayatoa.

Sasa hivi US itatumia soft powers zipi Tanzania. IMF and WB hazipo directly chini ya serikali zao.

CDM ijifunze kupambana vita yake sio kukimbilia viongozi wa dini, mabalozi, kulaumu Simba na Yanga etc.

Sasa sijasema mahakamani Lissu asitendewe haki.
Shida yako ni moja tu. Unadhani "wazungu" ni Wamerekani tu...

Unadhani hawa ni kina nani? IMF, WB, European Union, DANIDA, JICA nk..?

Si juzi mmeleta andiko humu kusifia kuwa IMF kuipa msaada wa dola milioni 440 Tanzania..?

Unafikiri hizo zinatoka Kizimkazi au Chato eeeh...?
 
Baadhi ya polisi watakua wanachukia sana kwa baadhi ya maagizo ila basi tu.Sasa hapo polisi wataenda wakaaibike,huku waliotoa maagizo wapo tu wanashihudia kupitia luninga.Hii ni intimidation na jeshi la polisi unakuta linasemwa kwa ujumla wake.Inasikitisha sana,huku wakubwa wanasaini posho tu.Pole sana kwa askari ambao wanavumilia mengi.
Mkuu umeongea kwa uchungu sana...very sad vijana wanakwenda kuaibika!!
 
Back
Top Bottom