PreGE2025 Peter Kibatala: Nitawaalika Mabalozi na Jumuiya za Kidiplomasia kwenye Kesi ya Lissu Aprili 24, 2025

PreGE2025 Peter Kibatala: Nitawaalika Mabalozi na Jumuiya za Kidiplomasia kwenye Kesi ya Lissu Aprili 24, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Jaribio lolote la kutomfikisha Mahakamani Antipas Tundu Lissu Mughwai tarehe 24 Aprili 2025 litakutana na upinzani mkali wa kisheria. Tunaamini kuwa wale walio na dhamana hawatajishughulisha na mipango ya kipuuzi ya aina hiyo.

Tunataka Antipas Tundu Lissu Mughwai ashtakiwe hadharani kabisa; aibu iwabebe wanaostahili. Bila shaka tunafahamu upande upi utabeba mzigo huo. Kama kawaida, muda ndio mwamuzi wa mwisho.

Kesho, tarehe 22 Aprili 2025, nitaandika rasmi kwa Mabalozi wa Jumuiya ya Kidiplomasia waliopo Tanzania, nikiwaalika maafisa wao kuhudhuria kesi ya Bw. Lissu iliyopangwa, ili wajionee kwa macho yao jinsi haki inavyotendeka nchini Tanzania.

Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

Aidha, nitaandika kwa Viongozi Wakuu wa Madhehebu Makuu ya Dini, nikiwaalika pia kuhudhuria na kushuhudia kinachofanyika kwa jina la Taifa.

Kesi hii ina athari za Kitaifa na Kimataifa; na tunahitaji uwazi wa hali ya juu.

Tunataka Dunia nzima ijionee jinsi Jeshi la Polisi la Tanzania litakavyoshughulikia haki ya Kikatiba ya Umma kuhudhuria mashauri ya jinai ya aina hii yenye uzito mkubwa; na wajifunze kwa dhahiri maana halisi ya kosa la uhaini.



Jaribio lolote la kutomfikisha Mahakamani Antipas Tundu Lissu Mughwai on 24th April 2025 will be met with stiff legal resistance;We trust that those responsible will not partake in any such hare-brained schemes.

We want Antipas Tundu Lissu Mughwai to be tried in full Public view; let the burden of shame be carried by the deserving side, of course we know which side that will be. Time is,as always,the final victor.

Tomorrow, 22nd April 2025, I will officially write to the Embassies of the Diplomatic Corp in Tanzania;inviting their Officers to attend Mr. Lissu's scheduled case,and witness Tanzanian Justice at play.

I will also write to the Heads of all major religious denominations:similarly inviting them to witness what is being done in the name of the Nation.

The case has intra-National, and International implications;and we require complete apparency.

We wish the whole World to witness how the Tanzania Police Force will be dealing with the statutory right of the Public to attend such momentous criminal proceedings;and learn for themselves what Treason actually entails.
Nalike nami pliizi
 
Sasa hao watasaidia nini, ilihali Congo watu wanakufa na hizo balozi zipo tu.
Hawana cha kusaidia mrembo wa CCM.Hao watu wanakuja kujaza tu IDADI ya watu pale mahakamani.

Hakuna mwana CCM Kama wewe anauwezo wa kuelewa Impact yoyote katika hili.Wewe unatumia tumbo na Matako kufikiri.Elimu yako ni ndogo kuelewa haya.Natamani kufafanulia kuhusu madhara wanayoyapata Kongo lakini naona Kichwa Cha mwanaCCM yeyote kimejaa ugali ,kinawaza namna ya kupata pesa na vyeo.
 
Hawana cha kusaidia mrembo wa CCM.Hao watu wanakuja kujaza tu IDADI ya watu pale mahakamani.

Hakuna mwana CCM Kama wewe anauwezo wa kuelewa Impact yoyote katika hili.Wewe unatumia tumbo na Matako kufikiri.Elimu yako ni ndogo kuelewa haya.Natamani kufafanulia kuhusu madhara wanayoyapata Kongo lakini naona Kichwa Cha mwanaCCM yeyote kimejaa ugali ,kinawaza namna ya kupata pesa na vyeo.
Kipindi cha JPM hao Mabalozi hawakuwepo????
●Congo watu wanakufa-Balozi zipo
●Rwanda wapinzani wanauawa-Balozi zipo
●Russia, Putin anaua wapinzani-Balozi zimesaidia nini
●Maduro je???
●The Lists ni ndefu to mention
 
Halafu ata wakienda watasaidia nini.

Donald Trump ameshakata mirija ya nyonyo Tanzania.

Nchi kama US hana tena tools za kutumia ‘soft powers’ Tanzania ku-influence government behaviour.

Sisemi huko mahakamani haki isitendeke, ila hao wazungu wenu hawana kitu cha kuitishia nacho serikali tena kama misaada washakata tayari.
Soma na uelewe misaada inayoongelewa ni ile ya kupitia shirika la USAID

Misaada ya kibajeti ipo pale pale ,Sisi bajeti yetu tunategemea misaada toka Marekani na ulaya
IMF na World Bank aliyeshika mpini ni huyo Marekani

WHO mshika mpini ni huyo US

Mkuu tofautisha misaada ya kibajeti na misaada inayopitia kwenye mashirika,Huko kwenye shirika Marekani kaona hasara

Hayo mashirika kama UkAid,UsAid,Danida na mengine mengi yanatusaidia kuna ishu maalum za kimaendeleo kama Afya,ujenzi,elimu na mambo mengine ya dharula
 
Askofu Mkuu unapokea wito toka kwa mtu anaitwa Kibatala

Ni.kujishusha hadhi hayuko level hiyo
 
Kwahio serikali ya Tz haipati misaada kwa sasa?. Tunaishi kwa kujitegemea?. Na vipi mikopo nayo ?.
Mkuu jamaa ni mjinga sana hawa ndio watoto tunaopoteza ada wanampigania mwijaku

Jamaa haelewi kuwa bajeti yetu inategemea hao Marekani

Hajui tofauti ya misaada ya kibajeti na pesa kupitia mashirika kama USaid au UKaid
 
Legal English ya Kibatala ya kibabe sana. Ngoja tuone, napenda sana "battle" za mahakamani, sijui kwanini aisee. 😁
 
Wakili Peter Kibatala ameonya kuwa jaribio lolote la kutomfikisha Tundu Lissu mahakamani tarehe 24 Aprili litakabiliwa na upinzani mkali wa kisheria, akisisitiza kuwa kesi hiyo inapaswa kusikilizwa hadharani kwa uwazi kamili ili dunia ione haki ikitendeka.

Kibatala amesema leo, Aprili 22, atauandikia rasmi Ubalozi wa nchi mbalimbali na viongozi wa dini kuwaalika kufuatilia mwenendo wa kesi hiyo ambayo ina athari za kitaifa na kimataifa.

"Mzigo wa aibu ubebwe na wanaostahili, na tunajua ni upande gani huo," amesema Kibatala, akiongeza kuwa muda ndio hakimu wa mwisho.

1745309722501.png
 
Back
Top Bottom