Pre GE2025 Peter Madeleka amekamatwa na Polisi, aachiliwa bila Masharti baada ya kuomba msaada kwa Mawakili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Ame tweet mwenyewe kwenye mtandao wa X zamani Twitter

1722072487980.png

====

Kupitia ukurasa wake wa X Peter Madeleka ameweka ujumbe akisema amekamatwa na polisi na anashikiliwa katika kituo che Central Dar, ambapo ameomba msaada wa Mawakili.

Pia soma: Peter Madeleka: Nina uwezo wa kwenda Mahakamani kufungua kesi na kuwajua waliomteka na kumtesa Sativa

"Naomba msaada wa MAWAKILI. Nimekamatwa na nipo hapa Central Police.

"Nipo Central Polisi Dar. Nimekamatwa."

=====

UPDATES: 1445HRS

======

Nikiwa na mawakili wangu tukiondoka katika kituo kikuu cha polisi dar es salaam, baada ya kuachiwa bila masharti. Awali nilizuiliwa katika kituo hicho, nilipokuwa nimekwenda na mteja wangu kuripoti wizi wa tzs 10 bilioni alizoibiwa.
20240727_145913.jpg
 
Sababu ni nini hasa?

Huyo Madeleka aliwahi kuwa Askari Polisi, aeleze kwa kifupi juu ya sababu za kukamatwa kwake endapo kama kweli amekamatwa na Jeshi la Polisi.

Isije ikawa michezo yao ya 'kuwaghiribu Watu akili' ili kuwa-brain wash wananchi na 'kuwatoa kwenye reli.'
 
Kuna kama vile mchezo wa Police Tanzania kutaka kujishindanisha na Wananchi ili kuonyesha nguvu zao.
Nakumbuka miaka ya nyuma huko Nachingwea Lindi polisi walimkamata Luteni wa JWTZ kibabe mtaani na kumpeleka kituoni. Lakini balaa lililotokea baada ya hapo ni wenzake kwenda kituoni na kutembeza mikanda na mabuti na kuondoka na mwanajeshi mwenzao.
Sasa polisi wa sasa wanapenda kupimana nguvu na wananchi licha ya matukio kadhaa ya vituo kufungiwa kazi kama kule Serengeti.
Uadui wa ubabe wao uko katika hatua za mwishoni kuvumiliwa na wananchi, wajichunge.
 
Ame tweet mwenyewe kwenye mtandao wa X zamani Twitter

====

Kupitia ukurasa wake wa X Peter Madeleka ameweka ujumbe akisema amekamatwa na polisi na anashikiliwa katika kituo che Central Dar, ambapo ameomba msaada wa Mawakili.

Pia soma: Peter Madeleka: Nina uwezo wa kwenda Mahakamani kufungua kesi na kuwajua waliomteka na kumtesa Sativa

"Naomba msaada wa MAWAKILI. Nimekamatwa na nipo hapa Central Police.

"Nipo Central Polisi Dar. Nimekamatwa."
Naomba msaada wa kuelewa, amekamatwa lakin bado anaweza kuingia mtandaoni ki vip?
 
Ame tweet mwenyewe kwenye mtandao wa X zamani Twitter

====

Kupitia ukurasa wake wa X Peter Madeleka ameweka ujumbe akisema amekamatwa na polisi na anashikiliwa katika kituo che Central Dar, ambapo ameomba msaada wa Mawakili.

Pia soma: Peter Madeleka: Nina uwezo wa kwenda Mahakamani kufungua kesi na kuwajua waliomteka na kumtesa Sativa

"Naomba msaada wa MAWAKILI. Nimekamatwa na nipo hapa Central Police.

"Nipo Central Polisi Dar. Nimekamatwa."
Madeleka ni Wakili wa Mahakama kuu ajizamini tu hakuna shida!!
 
Sababu ni nini hasa?

Huyo Madeleka aliwahi kuwa Askari Polisi, aeleze kwa kifupi juu ya sababu za kukamatwa kwake endapo kama kweli amekamatwa na Jeshi la Polisi.

Isije ikawa michezo yao ya 'kuwaghiribu Watu akili' ili kuwa-brain wash wananchi na 'kuwatoa kwenye reli.'
Ficha ujinga we mzungupori
 
Back
Top Bottom