Pre GE2025 Peter Madeleka amekamatwa na Polisi, aachiliwa bila Masharti baada ya kuomba msaada kwa Mawakili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna kama vile mchezo wa Police Tanzania kutaka kujishindanisha na Wananchi ili kuonyesha nguvu zao.
Nakumbuka miaka ya nyuma huko Nachingwea Lindi polisi walimkamata Luteni wa JWTZ kibabe mtaani na kumpeleka kituoni. Lakini balaa lililotokea baada ya hapo ni wenzake kwenda kituoni na kutembeza mikanda na mabuti na kuondoka na mwanajeshi mwenzao.
Sasa polisi wa sasa wanapenda kupimana nguvu na wananchi licha ya matukio kadhaa ya vituo kufungiwa kazi kama kule Serengeti.
Uadui wa ubabe wao uko katika hatua za mwishoni kuvumiliwa na wananchi, wajichunge.
Siyo kila kitendo Cha Jeshi la Polisi au Jeshi lingine lolote lile kukamata Raia, kuwapiga au kuwaua kinaweza kuwa ni kitendo Cha Nia ovu dhidi ya Raia, la hasha, wakati mwingine vitendo vya namna hiyo huwa ni njia nyingine mbadala ya Jeshi ktk kuuamsha umma wa Wananchi ili uchukue hatua stahiki dhidi ya Watawala waovu waliopo madarakani wasiowajibika kwa Wananchi. Mbinu ya namna hii pia iliwahi kutumika na Jeshi nchini Tunisia, hali iliyosababisha mabadiliko makubwa ya Kiutawala nchini humo na hata kusababisha mapinduzi/mageuzi makubwa ya Kiutawala kwenye nchi nyingi za ki-Arab (Arab uprising) ktk nchi ya Libya, Misri, n.k.
 
Siyo kila kitendo Cha Jeshi la Polisi au Jeshi lingine lolote lile kukamata Raia, kuwapiga au kuwaua kinaweza kuwa ni kitendo Cha Nia ovu dhidi ya Raia, la hasha, wakati mwingine vitendo vya namna hiyo huwa ni njia nyingine mbadala ya Jeshi ktk kuuamsha umma wa Wananchi ili uchukue hatua stahiki dhidi ya Watawala waovu waliopo madarakani wasiowajibika kwa Wananchi. Mbinu ya namna hii pia iliwahi kutumika na Jeshi nchini Tunisia, hali iliyosababisha mabadiliko makubwa ya Kiutawala nchini humo na hata kusababisha mapinduzi/mageuzi makubwa ya Kiutawala kwenye nchi nyingi za ki-Arab (Arab uprising)
Nimekuelewa sana
 
Kuna kama vile mchezo wa Police Tanzania kutaka kujishindanisha na Wananchi ili kuonyesha nguvu zao.
Nakumbuka miaka ya nyuma huko Nachingwea Lindi polisi walimkamata Luteni wa JWTZ kibabe mtaani na kumpeleka kituoni. Lakini balaa lililotokea baada ya hapo ni wenzake kwenda kituoni na kutembeza mikanda na mabuti na kuondoka na mwanajeshi mwenzao.
Sasa polisi wa sasa wanapenda kupimana nguvu na wananchi licha ya matukio kadhaa ya vituo kufungiwa kazi kama kule Serengeti.
Uadui wa ubabe wao uko katika hatua za mwishoni kuvumiliwa na wananchi, wajichunge.
Chakaza, sielewi msomi mbobezi kama wewe unafikiri ni polisi. Polisi masikini hata hizo nguvu hawana. This is for real wala usisumbuke kuwasema, hawa ni wanyonge kama wewe.

TISS ndiyo baba lao, na TISS huwaambia huwaelekeza polisi kufanya hivyo, kwa kisingizio cha usalama wa Taifa, elewa hivyo. Hawa TISS wanaweza kukukamata wao au kwa kutumia polisi hasa kuangalia profile ya mtu. Pale polisi wanaokuhoji si lazima wawe polisi tu, wakati fulani hata TISS wapo, au report inapelekwa TISS.

Boss wa TISS anaripoti kwa Don
 
Mara nyingi hawa wanaharakati hua wana watu wao wa karibu wenye access za kuingia kwenye mitandao yao ya kijamii mana mambo kama haya ya kukamatwa ni kawaida kwao hua wanafanya hvy ili kutoa taarifa chap kwa haraka
Asante sana kwa maelezo yako mafupi na yanayoeleweka.
 
Siyo kila kitendo Cha Jeshi la Polisi au Jeshi lingine lolote lile kukamata Raia, kuwapiga au kuwaua kinaweza kuwa ni kitendo Cha Nia ovu dhidi ya Raia, la hasha, wakati mwingine vitendo vya namna hiyo huwa ni njia nyingine mbadala ya Jeshi ktk kuuamsha umma wa Wananchi ili uchukue hatua stahiki dhidi ya Watawala waovu waliopo madarakani wasiowajibika kwa Wananchi. Mbinu ya namna hii pia iliwahi kutumika na Jeshi nchini Tunisia, hali iliyosababisha mabadiliko makubwa ya Kiutawala nchini humo na hata kusababisha mapinduzi/mageuzi makubwa ya Kiutawala kwenye nchi nyingi za ki-Arab (Arab uprising) ktk nchi ya Libya, Misri, n.k.
Mpuuzi wewe, jeshi la polisi la Tanzania? Hapana. Jeshi la polisi linalojielewa na lenye nguvu kutumia katiba na sheria linaweza kukataa amri ya TISS, lakini ujuwe TISS wanakuja na sheria ya Usalama wa Taifa, huwezi kuhoji hapo maana ya usalama wa Taifa, polisi ni kutii tu.
 
Yeye SI wakili ajitetee watu wanafanya maovu kwa kivuli Cha siasa kwanini wanafanya mambo ya ovyo x
 
Kuna kama vile mchezo wa Police Tanzania kutaka kujishindanisha na Wananchi ili kuonyesha nguvu zao.
Nakumbuka miaka ya nyuma huko Nachingwea Lindi polisi walimkamata Luteni wa JWTZ kibabe mtaani na kumpeleka kituoni. Lakini balaa lililotokea baada ya hapo ni wenzake kwenda kituoni na kutembeza mikanda na mabuti na kuondoka na mwanajeshi mwenzao.
Sasa polisi wa sasa wanapenda kupimana nguvu na wananchi licha ya matukio kadhaa ya vituo kufungiwa kazi kama kule Serengeti.
Uadui wa ubabe wao uko katika hatua za mwishoni kuvumiliwa na wananchi, wajichunge.
Tutajie hao wa
Siyo kila kitendo Cha Jeshi la Polisi au Jeshi lingine lolote lile kukamata Raia, kuwapiga au kuwaua kinaweza kuwa ni kitendo Cha Nia ovu dhidi ya Raia, la hasha, wakati mwingine vitendo vya namna hiyo huwa ni njia nyingine mbadala ya Jeshi ktk kuuamsha umma wa Wananchi ili uchukue hatua stahiki dhidi ya Watawala waovu waliopo madarakani wasiowajibika kwa Wananchi. Mbinu ya namna hii pia iliwahi kutumika na Jeshi nchini Tunisia, hali iliyosababisha mabadiliko makubwa ya Kiutawala nchini humo na hata kusababisha mapinduzi/mageuzi makubwa ya Kiutawala kwenye nchi nyingi za ki-Arab (Arab uprising) ktk nchi ya Libya, Misri, n.k.
tawala waovu acheni ujinga nchi hii IPO imara nyie endeleeni na akili zenu za kutafuta umaarufu wa siasa
 
Mpuuzi wewe, jeshi la polisi la Tanzania? Hapana. Jeshi la polisi linalojielewa na lenye nguvu kutumia katiba na sheria linaweza kukataa amri ya TISS, lakini ujuwe TISS wanakuja na sheria ya Usalama wa Taifa, huwezi kuhoji hapo maana ya usalama wa Taifa, polisi ni kutii tu.
PT kupokea amri kutoka TISS??
Wapi kwenye comment yangu uliyonukuu Mimi nimeeleza hayo?

Please, uwe unasoma vizuri na kutafakari kwanza kabla ya kutoa Maoni yako humu mtandaoni.
 
Kuna kama vile mchezo wa Police Tanzania kutaka kujishindanisha na Wananchi ili kuonyesha nguvu zao.
Nakumbuka miaka ya nyuma huko Nachingwea Lindi polisi walimkamata Luteni wa JWTZ kibabe mtaani na kumpeleka kituoni. Lakini balaa lililotokea baada ya hapo ni wenzake kwenda kituoni na kutembeza mikanda na mabuti na kuondoka na mwanajeshi mwenzao.
Sasa polisi wa sasa wanapenda kupimana nguvu na wananchi licha ya matukio kadhaa ya vituo kufungiwa kazi kama kule Serengeti.
Uadui wa ubabe wao uko katika hatua za mwishoni kuvumiliwa na wananchi, wajichunge.
Natamani Hamza afufuke
 
Ame tweet mwenyewe kwenye mtandao wa X zamani Twitter

====

Kupitia ukurasa wake wa X Peter Madeleka ameweka ujumbe akisema amekamatwa na polisi na anashikiliwa katika kituo che Central Dar, ambapo ameomba msaada wa Mawakili.

Pia soma: Peter Madeleka: Nina uwezo wa kwenda Mahakamani kufungua kesi na kuwajua waliomteka na kumtesa Sativa

"Naomba msaada wa MAWAKILI. Nimekamatwa na nipo hapa Central Police.

"Nipo Central Polisi Dar. Nimekamatwa."
Ni vema ametoa location mapema kabla hajajikuta mkoa ule wa kata…. 😂
 
Back
Top Bottom