Pre GE2025 Peter Madeleka amekamatwa na Polisi, aachiliwa bila Masharti baada ya kuomba msaada kwa Mawakili

Pre GE2025 Peter Madeleka amekamatwa na Polisi, aachiliwa bila Masharti baada ya kuomba msaada kwa Mawakili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ame tweet mwenyewe kwenye mtandao wa X zamani Twitter

====

Kupitia ukurasa wake wa X Peter Madeleka ameweka ujumbe akisema amekamatwa na polisi na anashikiliwa katika kituo che Central Dar, ambapo ameomba msaada wa Mawakili.

Pia soma: Peter Madeleka: Nina uwezo wa kwenda Mahakamani kufungua kesi na kuwajua waliomteka na kumtesa Sativa

"Naomba msaada wa MAWAKILI. Nimekamatwa na nipo hapa Central Police.

"Nipo Central Polisi Dar. Nimekamatwa."

=====

UPDATES: 1445HRS

======

Nikiwa na mawakili wangu tukiondoka katika kituo kikuu cha polisi dar es salaam, baada ya kuachiwa bila masharti. Awali nilizuiliwa katika kituo hicho, nilipokuwa nimekwenda na mteja wangu kuripoti wizi wa tzs 10 bilioni alizoibiwa.
View attachment 3053730
Polisi wana mambo ya kishamba sana
 
Back
Top Bottom