Siyo kila kitendo Cha Jeshi la Polisi au Jeshi lingine lolote lile kukamata Raia, kuwapiga au kuwaua kinaweza kuwa ni kitendo Cha Nia ovu dhidi ya Raia, la hasha, wakati mwingine vitendo vya namna hiyo huwa ni njia nyingine mbadala ya Jeshi ktk kuuamsha umma wa Wananchi ili uchukue hatua stahiki dhidi ya Watawala waovu waliopo madarakani wasiowajibika kwa Wananchi. Mbinu ya namna hii pia iliwahi kutumika na Jeshi nchini Tunisia, hali iliyosababisha mabadiliko makubwa ya Kiutawala nchini humo na hata kusababisha mapinduzi/mageuzi makubwa ya Kiutawala kwenye nchi nyingi za ki-Arab (Arab uprising) ktk nchi ya Libya, Misri, n.k.