Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 5,010
- 4,083
Bwege tu huyo
Mtu wa kiki za kibwege sana huyo wakili
Mtu wa kiki za kibwege sana huyo wakili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hao mafisadi ambao wamekuwa wakitajwa kila Mwaka kwenye Ripoti ya CAG ni watawala wazuri????Tutajie hao wa
tawala waovu acheni ujinga nchi hii IPO imara nyie endeleeni na akili zenu za kutafuta umaarufu wa siasa
Nguvu ya Tech safi sana.Ame tweet mwenyewe kwenye mtandao wa X zamani Twitter
====
Kupitia ukurasa wake wa X Peter Madeleka ameweka ujumbe akisema amekamatwa na polisi na anashikiliwa katika kituo che Central Dar, ambapo ameomba msaada wa Mawakili.
Pia soma: Peter Madeleka: Nina uwezo wa kwenda Mahakamani kufungua kesi na kuwajua waliomteka na kumtesa Sativa
"Naomba msaada wa MAWAKILI. Nimekamatwa na nipo hapa Central Police.
"Nipo Central Polisi Dar. Nimekamatwa."
Ukiona hivyo huyo chawa tu anaishi kwa jina la mjomba wake wa ccmTabia za umbea, Mimi namwongelea Madeleka, wewe unapambana na Chadema!
Asiposhtuka atachafuka kama mtangulizi wake.Mawazo huru:-
Kamata kamata,poteza poteza ni mbinu inayotumika Kwa sana kumuondolea mama uhalali wa kugombea mwakani!!
Namna pekee ya kuondoa Hali hii ni mama kutoka hadharani na kusema "Mwili wangu hauruhusu kuendeleza mikiki mikiki ya kuwania uongozi ,baada ya kutafakari Kwa kina nimeona wajukuu wanamhitaji sana bibi yao nakiachia chama mmamuzi""!
Hivi watu wakipata maumivu wewe unafarijikaje?Acha alalemo, si ni jasiri, atatoka jumatatu
Hivi watu wakipata maumivu weww unafarijikaje?Acha alalemo, si ni jasiri, atatoka jumatatu
haya mapolisi sijui hutumia ma......kufikiri.Hii nchi ni shida sana.
Yale yale ya Jpm.Acha alalemo, si ni jasiri, atatoka jumatatu
Hapana. Nafikiri amepitia experience fulani ambayo wewe na mimi huenda hatujaipitia, hivyo uwasilishaji wake wa hoja unaweza kuwa tofauti na wa kwetu.Nafikiri Huwa anapendwa kukamatwa
Hapana. Nafikiri amepitia experience fulani ambayo wewe na mimi huenda hatujaipitia, hivyo uwasilishaji wake wa hoja unaweza uwe tofauti na wa kwetu.
Asilimia kubwa ya hawa jamaa ni wanyanyasaji wa raia, na ndio kazi yao hiyo.haya mapolisi sijui hutumia ma......kufikiri.
hivi hawana kazi nyingine za kufanya
Kifupi mimi nakataa kabisa kama Polisi wa Tanzania watakuwa na utashi wa kufanya wewe unayosema. Wao hupokea tu amri kutoka TISS au Juu na kutekeleza, wangekuwa huru au kutumia katiba na sheria basi wanayoyafanya sasa hivi hayangekuwepo.PT kupokea amri kutoka TISS??
Wapi kwenye comment yangu uliyonukuu Mimi nimeeleza hayo?
Please, uwe unasoma vizuri na kutafakari kwanza kabla ya kutoa Maoni yako humu mtandaoni.
Wakimwachia, mtujulishe pia!!Kupitia ukurasa wake wa X Peter Madeleka ameweka ujumbe akisema amekamatwa na polisi na anashikiliwa katika kituo che Central Dar, ambapo ameomba msaada wa Mawakili.
Pia soma: Peter Madeleka: Nina uwezo wa kwenda Mahakamani kufungua kesi na kuwajua waliomteka na kumtesa Sativa
"Naomba msaada wa MAWAKILI. Nimekamatwa na nipo hapa Central Police.
"Nipo Central Polisi Dar. Nimekamatwa."
Subiri zamu Yako au ndugu yako ifike Kisha uje kutema huu ujinga ulioandika hapaBwege tu huyo
Mtu wa kiki za kibwege sana huyo wakili
Hii tabia italeta shida.Kuna kama vile mchezo wa Police Tanzania kutaka kujishindanisha na Wananchi ili kuonyesha nguvu zao.
Nakumbuka miaka ya nyuma huko Nachingwea Lindi polisi walimkamata Luteni wa JWTZ kibabe mtaani na kumpeleka kituoni. Lakini balaa lililotokea baada ya hapo ni wenzake kwenda kituoni na kutembeza mikanda na mabuti na kuondoka na mwanajeshi mwenzao.
Sasa polisi wa sasa wanapenda kupimana nguvu na wananchi licha ya matukio kadhaa ya vituo kufungiwa kazi kama kule Serengeti.
Uadui wa ubabe wao uko katika hatua za mwishoni kuvumiliwa na wananchi, wajichunge.