Pre GE2025 Peter Madeleka amekamatwa na Polisi, aachiliwa bila Masharti baada ya kuomba msaada kwa Mawakili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tutajie hao wa

tawala waovu acheni ujinga nchi hii IPO imara nyie endeleeni na akili zenu za kutafuta umaarufu wa siasa
Hivi hao mafisadi ambao wamekuwa wakitajwa kila Mwaka kwenye Ripoti ya CAG ni watawala wazuri????

Hao Watu wasiojulikana ambao wamekuwa wakiteka watu, kuwekea Watu sumu, kuwaua, au kuwashambulia kwa silaha mbali mbali za moto ni Watu wema au ni Watu wazuri hao?
Hao Watawala wanaotumia vibaya Sana fedha za Kodi za Wananchi kwenye matumizi ya anasa ni Watu wazuri hao?

Suala la Umaarufu wa kisiasa hapa linakujaje??
Ina maana unataka kusema kwamba vitendo vya ufisadi, utekaji, Mauaji ya kiholela, wizi, n.k vimekuwa vikifanywa na watawala/Watu wazuri???
 
Mawazo huru:-
Kamata kamata,poteza poteza ni mbinu inayotumika Kwa sana kumuondolea mama uhalali wa kugombea mwakani!!

Namna pekee ya kuondoa Hali hii ni mama kutoka hadharani na kusema "Mwili wangu hauruhusu kuendeleza mikiki mikiki ya kuwania uongozi ,baada ya kutafakari Kwa kina nimeona wajukuu wanamhitaji sana bibi yao nakiachia chama mmamuzi""!
 
Nguvu ya Tech safi sana.

Ndio maana wakikukamata cha kwanza ni kukuchuna simu yako
 
Asiposhtuka atachafuka kama mtangulizi wake.
 
Nafikiri Huwa anapendwa kukamatwa
Hapana. Nafikiri amepitia experience fulani ambayo wewe na mimi huenda hatujaipitia, hivyo uwasilishaji wake wa hoja unaweza kuwa tofauti na wa kwetu.
 
haya mapolisi sijui hutumia ma......kufikiri.
hivi hawana kazi nyingine za kufanya
Asilimia kubwa ya hawa jamaa ni wanyanyasaji wa raia, na ndio kazi yao hiyo.
Mimi nikimwona polisi yeyote, huwa najisikia nimeona mla-RUSHWA, DHALIMU,MKANDAMIZAJI, MBAMBIKIZIAJI n.k.
Wanajiita wanausalama ila mimi huwa sjisikii salama kabisa ninapokutana na polisi.
 
PT kupokea amri kutoka TISS??
Wapi kwenye comment yangu uliyonukuu Mimi nimeeleza hayo?

Please, uwe unasoma vizuri na kutafakari kwanza kabla ya kutoa Maoni yako humu mtandaoni.
Kifupi mimi nakataa kabisa kama Polisi wa Tanzania watakuwa na utashi wa kufanya wewe unayosema. Wao hupokea tu amri kutoka TISS au Juu na kutekeleza, wangekuwa huru au kutumia katiba na sheria basi wanayoyafanya sasa hivi hayangekuwepo.
 
Hii tabia italeta shida.
Siku moja nilipokuwa nasubiri usafiri sehemu fulani, walisikika vijana wakisema " ujinga wetu ndio uliotufikisha hapa, ukiona ndugu yako kaumizwa na polisi tafuta familia yoyote ya police piga moto"
Kauli kama hii inaonysha uadui kati ya police na wananchi. Na inaweza kuleta madhara kwa family za police zisizohusika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…