Pre GE2025 Peter Madeleka amekamatwa na Polisi, aachiliwa bila Masharti baada ya kuomba msaada kwa Mawakili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
📌📌📌
 
Hivi watu wakipata maumivu weww unafarijikaje?

Nakumbuka ulivyokuwa ukilalama hapa enzi za shujaa
Sasa huyu jamaa tangu aanze kuwatetea machangu, anakesha nao usiku, wampe bure, sasa ukikamatwa chocho hueleweki unafanya nini na suruali imeshushwa wakuache tu?
 
This was serious mpaka akaomba msaada??
 
Ila dogo ajiangalie sana
 
Sasa huyu jamaa tangu aanze kuwatetea machangu, anakesha nao usiku, wampe bure, sasa ukikamatwa chocho hueleweki unafanya nini na suruali imeshushwa wakuache tu?
Umefurahi mwenyewe kumzushia mwenzako uongo. Inakusaidiaje kwa mfano?
 
Na baada ya kupiga moto jiandae kufungwa kifungo cha maisha kwa kosa la Arson.
 
Nashukuru leo nimemuokoa Mtanzania mwenzangu dhidi ya kulala Polisi mpaka Jumatatu. Maana alitweet saa 5:45 asubuhi na mimi nikarusha humu jamvini saa 6:01 ndani ya dakika 15 ikawa viral.

Na by saa 9:45 akawa amefikiwa na kudhaminiwa na mawakili wenzie

Nipeni MAUA yangu TAFADHALI

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…