Peter Madeleka: Ikiwa DPP Mwakitalu hatawapeleka mahakamani ndani ya saa 24 waliombaka binti wa Yombo, mimi nitawapeleka

Peter Madeleka: Ikiwa DPP Mwakitalu hatawapeleka mahakamani ndani ya saa 24 waliombaka binti wa Yombo, mimi nitawapeleka

Ingawa sijaiona iyo video kwa maelezo ya walioina hao wajeda ni WAPUMBAVU SANAA
 
Madeleka anatakiwa kufungua NGO ya legal aid sasa apate msaada wa kifedha kutoka kwa wadau wakimataifa.

Mungu mpe nguvu huyu mtu aendelee na hii njia mpya aliyochagua.

Amen
 
Huyo binti mwenyewe yupo? Polisi wameshamuona au yeye ameshawaona?
 
Hakuna aliyebakwa pale. Wote wapumbavu, waliofanywa na kufanya
 
Vitu vingine si vya kuingiza siasa
Watz mna mambo ya hovyo sana sasa siasa hapa ni nn?? Ingekua mama yako au dada yako amefanyia ushetani ule ungesema ni siasa??? Kwanini polisi ahusike na mambo ya kihayawani kama yale??
 
Back
Top Bottom