Peter Madeleka: Nasubiri nione WATAMSHITAKI KWA “KOSA” GANI?

NAWAZA KWA SAUTI.

1. Huyu jamaa aende s Offisi za CHADEMA aandike Free Tundu Lissu.
Je atatafutwa na kukamatwa na police?

2.Aende kwenye Offisi za CHADEMA aandike Free polepole
Je atakamatwa na police

3. Au aende offisi za CCM aandike Jemedari Dr Samia suluhu hassan miysno 5 tena Sijui atakamatwa?

Nawaza kwa sauti nchi yetu ilipofika

"Kama kuna neno Moja nataka kuwaambia Neno moja tu ningewaambia Pambaneni mpate katiba Mpya"
Emmanuel Nchimbi.
 
hivi huyo magereka ndio yule wakili mlevi anaeogopa polisi sanaaa, right?

environmental pollutions ni kosa baya zaidi ikithibitika kutendwa kwa makusudi na kwa dhamira ovu ikiwa ni pamoja na kuudhi au kuumiza wengine kwa mujibu wa sheria.

na ikiwa imefanyika bila ridhaa ya mwenye wall ni mbaya zaidi 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…