Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 13,667
- 21,296
CCM chama changu
CCM chama changu
Kuna options nyingi ungeweza kuchagua jinsi ya kujibu ila umeamua kujibu kwa mtindo shit sana.Hakuna sheria inayotambua kosa linaitwa vandalism, hapo amevandalize nini unaelewa maana ya vadalism au ni fikra zako tu humu jf, nyie wajinga wa ccm mtazeekea jf hadi muwe vikongwe jielimisheni.
Nimekuelewa.if you are using common sense and not law please use your common sense in connection to reality and with your common sense the inference you make should not be legal one because you do not have specific provision of the law to arrive to that effect.
So as a legal expert let me tell you that the conduct the guy has done is not a criminal offence but it can be a civil suit on tort specifically on tresspass to land. Sasa wajinga wajinga wanaofugwa kwenye makorido ya lumumba hata hayaelewi ndio maana madeleka kwa kuijua sheria yetu jins ilivyo amesema anasubiri ni kosa lipi watamshtaki nalo.
NB: Fatilia hiyo issue hadi mwisho uje utuambie shtaka atakalokutwa nalo kama hutakutana na ugaidi na uhaini wa mchingo lengo akose dhamana, na siku nchi hii makosa yote yakiwa na dhamana hutaona ushenzi wa kesi za mchongo.
Uchochez, wakishindwa watamtesa na kumwachiaKosa la kuchafua ukuta
watu wamevurugwa nduguKuna options nyingi ungeweza kuchagua jinsi ya kujibu ila umeamua kujibu kwa mtindo shit sana.
CCM ndiyo Complainant liko wazi kama Uchi wa Brenda RupiaMlalamikaji ni nani?
Wanahitaji kujibiwa hivyo mfano ingeandikwa kwenye ofisi za CDM unafikiria wangemkamata??Mh!!...
Mkuu mbona umefika mbali...!?
Sio kama uchi wa mama yako??CCM ndiyo Complainant liko wazi kama Uchi wa Brenda Rupia
Acha kujipendekeza Linda mgongo wakoIN THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
THE JUDICIARY OF TANZANIA
IN THE DISTRICT COUR OF JF
CRIMINAL CASE ———-OF 2026
REPUBLIC
VERSUS
MKOMAVU
CHARGE SHEET
Statement of Offence
Malicious Damage to Property Contrary to Section 326 of Penal Code
Particulars of Offence
Mkomavu in diverse dates within United republic of Tanzania you found Malicious Damaging property of Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Dated at Dar es Salaam this ————day of —————-2026
———————————
STATE ATTORNEY
Presented for filing this ——————of ———2026.
——————————-
REGISTRY OFFICER
Kesi tayari hiyo unaenda kuifungua tuu huwaga Mshitakiwa dhidi ya Jamhuri
Umesoma ulichoandika ? Yaan polisi wakamate mtu alaf akabidhiwe Kwa uvccm?Huyo wamkabidhi lumumba, tuna kazi naye!
Kosa mbona hulitaji? Wewe bush lawyerNi kosa kisheria. Madeleka ni busybody advocate and populist.
Kulingana na comments za wadau humu kuchora ukuta wa taasisi au ukuta wa mtu binafsi sio kosa kisheria. Ni haki ya mchoraji kuchora kadiri anavyojisikia. Ni ruhusa pia kuchora magari ya watu yakiwa parking au kwenye traffic. Kuchora mali ya mtu mwingine ni haki ya mchoraji hivyo hakuna kifungu chochote, I was wrong.Kosa mbona hulitaji? Wewe bush lawyer
Nadhani wa mamako ndiyo umepanuka zaidi!CCM ndiyo Complainant liko wazi kama Uchi wa Brenda Rupia
Waliosema "OKTOBA TUNATIKI," na "SAMIA 5 TENA" WAKO SAHIHI KWA 100%. LAKINI WALOSEMA, " OKTOBA TUTAKINUKISHA" na "NO REFORMS,NO ELECTION" ni WAHAINI !! Nchi ina laana hii.NAWAZA KWA SAUTI.
1. Huyu jamaa aende s Offisi za CHADEMA aandike Free Tundu Lissu.
Je atatafutwa na kukamatwa na police?
2.Aende kwenye Offisi za CHADEMA aandike Free polepole
Je atakamatwa na police
3. Au aende offisi za CCM aandike Jemedari Dr Samia suluhu hassan miysno 5 tena Sijui atakamatwa?
Nawaza kwa sauti nchi yetu ilipofika
"Kama kuna neno Moja nataka kuwaambia Neno moja tu ningewaambia Pambaneni mpate katiba Mpya"
Emmanuel Nchimbi.
Tunaona watu wanapaka Rangi na kuandika natangazo kwenye kutq za nyumba, fence na mapaa kutangaxa biashara zao au slogani za kisiasa,mikutano etc sijaona mtu ameshtakiwa!! Why this??Kulingana na comments za wadau humu kuchora ukuta wa taasisi au ukuta wa mtu binafsi sio kosa kisheria. Ni haki ya mchoraji kuchora kadiri anavyojisikia. Ni ruhusa pia kuchora magari ya watu yakiwa parking au kwenye traffic. Kuchora mali ya mtu mwingine ni haki ya mchoraji hivyo hakuna kifungu chochote, I was wrong.
Kosa gani?Ni kosa kisheria. Madeleka ni busybody advocate and populist.
Ila ujue serikali (Africa) wanaweza kubuni mbinu yoyote!!Kuharibu Mali