Peter Madeleka: Nasubiri nione WATAMSHITAKI KWA “KOSA” GANI?

Peter Madeleka: Nasubiri nione WATAMSHITAKI KWA “KOSA” GANI?

Sijui kifungu Mimi sio mwanasheria, lakini sifikiri kama kuku aliyekatwa kichwa, I have common sense.
Kifungu hichi hapa. Watu wanaongea hisia hawazingatii uhalisia na ukweli

Penal Code, Cap. 16, R.E. 2023, kifungu cha 326(1)
"Mtu ambaye kwa makusudi na kinyume cha sheria anaharibu mali yoyote anatenda kosa, na isipokuwa kama kifungu hiki kimeeleza vinginevyo, atawajibika kwa kifungo cha hadi miaka saba."
 
Elimu ni muhimu sio mnalopoka tu, Mwaipopo alikuwa sahihi kisheria

Ibara ya 146(2)(b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Inazipa Mamlaka za Serikali za Mitaa (Serikali za Vijiji na Mitaa) wajibu wa kuhakikisha ulinzi na usalama wa wananchi katika maeneo yao, jambo linalotoa baraka za kisheria kwa uundaji wa vikundi vya ulinzi vya kijamii (kama sungusungu au ulinzi shirikishi wa mtaa)
Kwa hiyo vikundi vya kigaidi vinaimarisha ulinzi...??
 
Kifungu cha 326 (1) – Uharibifu wa Mali kwa Makusudi (Malicious Damage to Property)
Chini ya kifungu hiki: [1]
  • Kosa: Mtu yeyote ambaye kwa makusudi na kinyume cha sheria anaharibu au kudhuru mali yoyote, anatenda kosa la jinai.
Unalifafanuaje neno "Makusudi" katika jicho la kisheria....!?
 
Wa

Wajinga wajinga ukiwaambia ni kosa wanatukana na kulazimisha utaje kifungu.
Changamoto za kisiasa ndiyo zinafanya hata namna ya kufikiria tudumazwe.

Kesi ipo. Mshukiwa ana haki ya kujitetea.

Hiyo ni natural justice.
 
Anastahili sana. Ndio maana nasema wamfikishe mahakamani lakini Kuna watu humu wanasema sio kosa jambo ambalo hata common sense inakataa.
Sheria inasema kuwa kwa makusudi.....sasa anatakiwa mlalamikaji aithibitishie mahakama kuwa mtuhumiwa alikusudia kufanya tukio hilo
 
Huyu SI wanatakiwa kumsimamia TU afute tangazo kwenye ukuta wa watu then wanaachana naye kiroho safi TU.
hiyo ndiyo busara hasa inayotakiwa. hsyo mambo mtaano huku yapogo sana na yanamalizwa ki utu uzima. Tatizo hili litakuzwaaaa na kuonekana kaonewa na mambo kama haya ya vyama. ila naamini lengo lake hasa limefikishwa
 
Elimu ni muhimu sio mnalopoka tu, Mwaipopo alikuwa sahihi kisheria

Ibara ya 146(2)(b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Inazipa Mamlaka za Serikali za Mitaa (Serikali za Vijiji na Mitaa) wajibu wa kuhakikisha ulinzi na usalama wa wananchi katika maeneo yao, jambo linalotoa baraka za kisheria kwa uundaji wa vikundi vya ulinzi vya kijamii (kama sungusungu au ulinzi shirikishi wa mtaa)
Unatafsiri hovyo.

Huyu Mwaipopo vikundi vyake amevianzisha kwa niaba ya serikali gani ya mtaa?

Serikali ya mtaa inaundwa na nani? Katika waundaji wa serikali ya mtaa Mwaipopo ni nani?
 
Ni kosa kisheria. Madeleka ni busybody advocate and populist.
Madeleka bhana
NAWAZA KWA SAUTI.

1. Huyu jamaa aende s Offisi za CHADEMA aandike Free Tundu Lissu.
Je atatafutwa na kukamatwa na police?

2.Aende kwenye Offisi za CHADEMA aandike Free polepole
Je atakamatwa na police

3. Au aende offisi za CCM aandike Jemedari Dr Samia suluhu hassan miysno 5 tena Sijui atakamatwa?

Nawaza kwa sauti nchi yetu ilipofika

"Kama kuna neno Moja nataka kuwaambia Neno moja tu ningewaambia Pambaneni mpate katiba Mpya"
Emmanuel Nchimbi.
Upande wote wote unaweza kumshtaki tu mkuu
 
Unapopauliza wapi ni hapo mahali alipochora sasa we mpumbavu ku spray rangi mali ya mtu bila ruhusa yake siyo kosa? Kwa style hii kubalini tuu mapenzi ya Jinsia moja kama viongozi wenu!
wewe ndio mpumbavu section 299 cap. 16 R.E. 2023 haizungumzii hicho unachowadanganya wapumbavu wenzio, by the way mapenzi ya jinsia moja waulize wafuasi wenu akina mafwele wanaotekeleza mipango yenu ya jinsia moja ya kufira watu hadi wale wageni wa kenya. nguruwe wa kizimkazi wewe.
 
Hilo ni kosa kisheria.

Nafikiri linaangukia kwenye vandalism.

So CCM wakiamua kwenda mahakamani kesi ipo.

Ila kwakua huwezi predict watachoamua ngoja tujionee.
Hakuna sheria inayotambua kosa linaitwa vandalism, hapo amevandalize nini unaelewa maana ya vadalism au ni fikra zako tu humu jf, nyie wajinga wa ccm mtazeekea jf hadi muwe vikongwe jielimisheni.
 
hivi huyo magereka ndio yule wakili mlevi anaeogopa polisi sanaaa, right?

environmental pollutions ni kosa baya zaidi ikithibitika kutendwa kwa makusudi na kwa dhamira ovu ikiwa ni pamoja na kuudhi au kuumiza wengine kwa mujibu wa sheria.

na ikiwa imefanyika bila ridhaa ya mwenye wall ni mbaya zaidi 🐒
Screenshot_20260930-082516~2.png
 
Sijui kifungu Mimi sio mwanasheria, lakini sifikiri kama kuku aliyekatwa kichwa, I have common sense.
if you are using common sense and not law please use your common sense in connection to reality and with your common sense the inference you make should not be legal one because you do not have specific provision of the law to arrive to that effect.
So as a legal expert let me tell you that the conduct the guy has done is not a criminal offence but it can be a civil suit on tort specifically on tresspass to land. Sasa wajinga wajinga wanaofugwa kwenye makorido ya lumumba hata hayaelewi ndio maana madeleka kwa kuijua sheria yetu jins ilivyo amesema anasubiri ni kosa lipi watamshtaki nalo.
NB: Fatilia hiyo issue hadi mwisho uje utuambie shtaka atakalokutwa nalo kama hutakutana na ugaidi na uhaini wa mchingo lengo akose dhamana, na siku nchi hii makosa yote yakiwa na dhamana hutaona ushenzi wa kesi za mchongo.
 
Back
Top Bottom