The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Aliyeandika kwenye ukuta wa ccm akamatwa na polisi.
My worries: watamuua kama Chaula!
View attachment 3683739
Makosa ya awamu hii ni UGAIDI NA UHAINI.
Wakati wa Magufuli yalikuwa ni Uhujumu Uchumi na Utakatishaji pesa.
Tanzania mambo yanakwenda kwa awamu.