Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,592
- 15,404
Yes mkuu kuharibu mali iko S.326 ya Penal code anaweza kunyoa hata miaka 7 watu wanachukulia poa umeenda ume spray mali si ya kwako? Bila ruhusa yoyote? Ananyoa hiyoNi kosa kisheria. Madeleka ni busybody advocate and populist.